911sep11
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,461
- 4,272
Kwahiyo le ni kama neno la kingereza of.Oldoinyo maana yake "Mlima" Engai Maana yake "Mungu"
nakumbuka le mutuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo le ni kama neno la kingereza of.Oldoinyo maana yake "Mlima" Engai Maana yake "Mungu"
Lengai= WamunguKwahiyo le ni kama neno la kingereza of.
nakumbuka le mutuzi
Tour za kutafuta madanga tuView attachment 2331281
Tembea uone mengi Tanzania kuna vingi vya kujivunia. Hii ni moja tour itayofanyika ndani ya Mkoa wa Mbeya wilaya ya Kyela, katika fukwe za Matema tarehe, 10/09/2022. Kama ni mkazi wa Mbeya na Maeneo yake karibu tujumuike pamoja kumwagilia mioyo ukisindikizwa na upepo mwanana wa Ziwa NYASA.
@wildlifeafrica_the_best @tomasgrafx.
@Palazzogardenresort
🙏👍Tour za kutafuta madanga tu
Karibu sana mkuuBei rafiki sana hio
Yeah kabisa mkuuSafi sana, watu washindwe tu wenyewe kwenda kuona twiga 'live'