Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #21
Inside...Nisamehe kwakukwanza..
Shida sio kuandika nikutanguliza uislamu kwenye historia zako.
Wala hainikeri..Inside...
Hujanikwaza.
Kwani wewe inakukera kusoma jinsi Waislam walivyojitolea katika kupambana na Wajerumani na Waingereza?
Vipi historia hii hapo chini?:
View: https://youtu.be/Po9jm6R1pTU?si=6CenBp9kL4IIRovV
Inside...Wala hainikeri..
Nadhani wenyewe wakifufuka watashangaa sana hizi habari zako wao walipambana na wakoloni kama watanganyika.. hainalishi alikuwa shekhe au nani?
Walichotanguliza kikubwa ni uzalendo wao kwa nchi/ardhi yao ya MAMA Tanganyika.
Lengo la uzii kuonyesha kuwa mbano songea alikuwa mvaa kobazi
Mtu akimwandika Muisla au jina la Kiislam nduto "udini"?Ungetumia lugha ya kawaida ingependeza sana.
Hata mimi nakubali kabisà kwamba leñgo la uzi huu ni muendelezo wa udini wa Mohammed Said.
Walipambana kuzuia kutawaliwa na wazungu waliokuja kuwageuza watu kuwa kondoo.Mi naomba kuuliza, hao wazee wetu Songea na Mkwawa walikuwa wanafanya harakati za kidini?
Unaanza ubaguzi wa umri?Mzee wangu Mohammed nikupongeze naona umri wako umesogea kiasi,unaweza kutushirikisha una miaka mingapi kwa sasa japo kufahamu tu?
Kwa hiyo hazikuwa harakati za kidini bali kiutawala sio?Walipambana kuzuia kutawaliwa na wazungu waliokuja kuwageuza watu kuwa kondoo.
Waislam hatufundishi n Uislm haufundishi "bias" ya aina yoyote.Mungu aendelee kukulinda mzee wangu.
Upo kwenye umri wa bonus nakuombea ujaaliwe kurithisha ufahamu wako kwa walio nyuma yako pia ukiwafundisha kuepuka biases za aina yoyote maana ardhi tunayoishi ni yetu sote ubaguzi au ujuaji wowote hautatufikisha mahali(hii statement unaweza usiielewe vizuri lakini usiichukulie kwa ubaya)
Siioni harakati yoyote hapo, si ya kidini wala kiutawala.Kwa hiyo hazikuwa harakati za kidini bali kiutawala sio?
Hawa walikuwa ni wapigania uhuru wa watu wao. Hawakuwahi kupigania dini, ila kuna dhana ambayo ni potofu kufungamanisha harakati zao zà kukataa kutawaliwa ña udini sababu tuu kuña jina la kiarabu moja katikati ya majina mengi ya makabila yao.Mi naomba kuuliza, hao wazee wetu Songea na Mkwawa walikuwa wanafanya harakati za kidini?
Kabla ya Alama Mohamed Said kulileta jina halisi AbduRauf hapa JF uliwahi kulisoma kwengine?Hawa walikuwa ni wapigania uhuru wa watu wao. Hawakuwahi kupigania dini, ila kuna dhana ambayo ni potofu kufungamanisha harakati zao zà kukataa kutawaliwa ña udini sababu tuu kuña jina la kiarabu moja katikati ya majina mengi ya makabila yao.
Mfano ugomvi wa wajerumani na wangoni (Songea) ulianza pià baada ya wamisionari kuchoma sehemu za wangoni kuabudia mizimu yao (Mahoka) na siyo msikiti.
Hii vita haikuwa sababu Nduna Songea ana jiña la kiarabu ambalo halitajwitajwi kama Mohammed Said anavyodai.
Ndio jibu nililohitaji.Siioni harakati yoyote hapo, si ya kidini wala kiutawala.
Ilikuwa ni vita. uijuwi vita ya maji maji?
Sasa ma neo harakati umeyatowa wapi kama "ndiyto jibbu uli;lolitaka"?Ndio jibu nililohitaji.
Inawezekana umenizidi umri ila vita ya Majimaji naijua vizuri sana. Sio tu kwa kusoma darasani bali makimbusho ya Mashujaa wa Vita Vya Majimaji Songea nimetembelea sana na huo ukoo wa kina Mbano nafamiana nao vizuri tu.
Kinachonishangaza ni hiki cha kulazimisha kuingiza dini kwenye hizo harakati ambazo huzioni unaziita vita. Kabla ya kupigana vita Songea Mbano na wenzake walifanya harakati nyingi sana ambazo zote zilikuwa kupinga utawala wa mkoloni.
Sijui ni kwanini baadhi wanapata makasiriko anapotambuliwa kwa jina alilopewa na Mababu zake ambalo ndio asili yake, asili ya Uafrika.
Unataka kusemaje?huyo ndio mtume au
Picha inasema maneno elfu.Unataka kusemaje?huyo ndio mtume au
Ili iweje mohamed said mwenyewe ni mtumwa tu wa kiarabu,tutumie majina yetu ya asili ya mababu zetu,dini za wavaa kobazi zililetwa tu acheni utumwa wa fikra we ulitarajia mwarabu kuitwa KashogyKabla ya Alama Mohamed Said kulileta jina halisi AbduRauf hapa JF uliwahi kulisoma kwengine?
Atakuwa ntume huyoPicha inasema maneno elfu.
Haswa! Kumbe na wewe unamfahamu? Sykes hayumo?Lengo la uzii kuonyesha kuwa mbano songea alikuwa mvaa kobazi