Kwani mahakamani hawatafuti pesa?Huo muda unaopoteza ungetafuta pesa
Mahakama hizi hizi za Ccm...?Mkataba Kati ya serikali ya Tanzania na Dubai ni batili kwenye sheria za kimataifa. Maana ya kwamba Dubai sio sovereign state Kama jamhuri ya muungano wa Tanzania, hivyo haiwezi kuingia mikataba ya kimataifa.
Mikataba ya kimataifa inaingiwa na Falme ya Kiarabu inayotambulika kwenye sheria za kimataifa na sio Dubai ambayo ni sehemu ya UAE.
Hivyo naenda mahakamani kupinga mkataba huo au makubaliano hayo.
Kila la heriMkataba Kati ya serikali ya Tanzania na Dubai ni batili kwenye sheria za kimataifa. Maana ya kwamba Dubai sio sovereign state Kama jamhuri ya muungano wa Tanzania, hivyo haiwezi kuingia mikataba ya kimataifa.
Mikataba ya kimataifa inaingiwa na Falme ya Kiarabu inayotambulika kwenye sheria za kimataifa na sio Dubai ambayo ni sehemu ya UAE.
Hivyo naenda mahakamani kupinga mkataba huo au makubaliano hayo.
Mkataba Kati ya serikali ya Tanzania na Dubai ni batili kwenye sheria za kimataifa. Maana ya kwamba Dubai sio sovereign state Kama jamhuri ya muungano wa Tanzania, hivyo haiwezi kuingia mikataba ya kimataifa.
Mikataba ya kimataifa inaingiwa na Falme ya Kiarabu inayotambulika kwenye sheria za kimataifa na sio Dubai ambayo ni sehemu ya UAE.
Hivyo naenda mahakamani kupinga mkataba huo au makubaliano hayo.
Hivi sisi tuna kampuni gani inayoendeshwa na serikali kwa maswala kama hayo!? Sio uzumbukuku huu kweli!Wanaoingia Ubia ni DP World na TPA.
Siyo nchi ya Dubai. Ni kampuni inayomilikiwa na serikali yake.
Usijisumbue.
Kwa mjadala wa leo ni kwamba mikataba yote itakuwa Chini ya hii agreement. Sasa swali ni kwamba Dubai ni nchi kimataifa au semiautonomous?Wanaoingia Ubia ni DP World na TPA.
Siyo nchi ya Dubai. Ni kampuni inayomilikiwa na serikali yake.
Usijisumbue.
Uzumbukuku Kwa Sisi watanzania Kwa sababu hatuna kampuni kama hiyo?Hivi sisi tuna kampuni gani inayoendeshwa na serikali kwa maswala kama hayo!? Sio uzumbukuku huu kweli!
Umechelewa. Hakuna awezaye kuhoji tena huo mkataba baada ya bunge letu tukufu kuridhia.Mkataba Kati ya serikali ya Tanzania na Dubai ni batili kwenye sheria za kimataifa. Maana ya kwamba Dubai sio sovereign state Kama jamhuri ya muungano wa Tanzania, hivyo haiwezi kuingia mikataba ya kimataifa.
Mikataba ya kimataifa inaingiwa na Falme ya Kiarabu inayotambulika kwenye sheria za kimataifa na sio Dubai ambayo ni sehemu ya UAE.
Hivyo naenda mahakamani kupinga mkataba huo au makubaliano hayo.