Makubaliano Kati ya Tanzania na Dubai ni Batili kwenye sheria za kimataifa

Makubaliano Kati ya Tanzania na Dubai ni Batili kwenye sheria za kimataifa

Kwa mjadala wa leo ni kwamba mikataba yote itakuwa Chini ya hii agreement. Sasa swali ni kwamba Dubai ni nchi kimataifa au semiautonomous?
Vyema mukulu je; unaweza kutoa somo kwa lugha nyepesi, (Swahili).
 
Bunge tukufu au Bunge haramu??!--- lina utukufu gani??
Futa kauli yako ndugu yangu, ndugai atakuita bungeni ukajieleze.
Unakumbuka jinsi yule CAG alivyochafukwa na tumbo baada ya kuitwa bungeni? Jitayarishe.
 
Futa kauli yako ndugu yangu, ndugai atakuita bungeni ukajieleze.
Unakumbuka jinsi yule CAG alivyochafukwa na tumbo baada ya kuitwa bungeni? Jitayarishe.

Mtukufu ni Mungu pekee kama Bunge limejipa sifa ya Mungu ya utukufu hiyo ni juu yao.

Wale "wabunge" 19 wamo bungeni kinyume cha sheria, ni bunge gani "tukufu" linalovunja sheria za nchi??!
 
Back
Top Bottom