Makubaliano Kati ya Tanzania na Dubai ni Batili kwenye sheria za kimataifa

Umesoma Katiba ya U.A.E.?
Icheki Google uisome uone powers za Emirates zikoje.

Mtahangaika mpaka mtage wallahi!
Article 3
The member Emirates shall exercise sovereignty over
their own territories and territorial waters in all matters which are
not within the jurisdiction of the Union as assigned in this
Constitution.
 
Hatutagi hapa wewe kilaza. Nilishaisoma hiyo katiba zamani Sana. Mimi naongelea sovereighty ya Dubai mpaka mkataba wake uingie kwenye kuridhiwa na Bunge. Kasome status ya Federation kwenye ibara ya pili ya Montevideo Convention ya mwaka 1933 halafu uniambie, URT ilitakiwa iingie mkataba au makubaliano na Dubai au UAE, na kwenye sheria za kimataifa inayombulika Ni UAE au Dubai?.
 
Mkataba Kati ya serikali ya Tanzania na Dubai ni batili kwenye sheria za kimataifa. Maana ya kwamba Dubai sio sovereign state Kama jamhuri ya muungano wa Tanzania, hivyo haiwezi kuingia mikataba ya kimataifa.

Mikataba ya kimataifa inaingiwa na Falme ya Kiarabu inayotambulika kwenye sheria za kimataifa na sio Dubai ambayo ni sehemu ya UAE.

Hivyo naenda mahakamani kupinga mkataba huo au makubaliano hayo.
Kama ni batili nenda mahakamani fastaaaa.
 
Article 3
The member Emirates shall exercise sovereignty over
their own territories and territorial waters in all matters which are
not within the jurisdiction of the Union as assigned in this
Constitution.
Sasa tujiulize Dubai Wana capacity to enter international agreements on their behalf?.
 
Uzumbukuku Kwa Sisi watanzania Kwa sababu hatuna kampuni kama hiyo?
Mbona kampuni hiyo IPO USA, UK, ujerumani na China?
Hizo nchi nazo mazumbukuku au unaongea kitu hukijui??
Una hakika huko walipo wamewekewa terms za hovyo kwenye mkataba kama hizo walizowekewa kwetu?

Samia ni shetani anayependelea wajomba zake.
 
Article 3
The member Emirates shall exercise sovereignty over
their own territories and territorial waters in all matters which are
not within the jurisdiction of the Union as assigned in this
Constitution.
Sio mwanasheria Mimi lkn hapo nimeelewa wata exercise sovereignty kwenye mamlaka ndani ya Dubai na maji yanayowazunguka baaas..... Kwa muktada huu jamhuri ya muungano ilipaswa kuzingua mkataba na UAE na sio mamlaka ya Dubai. Hivi nikuulize swali je Kuna balozi za Dubai hapa?? Ama ushawahi kuona balozi za Zanzibar huko nje???

Hayo ni mawazo yangu tuu

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaaa!! Kwa Elimu yako ya MKWAWA UNIVERSITY
 
Hiyo intergovermentalism agreement unaielewa.
uko sahihi mkuu, ndio mana kwenye ile IGA upande wa dubai ile nafasi ya anaekasimisha madaraka (sisi ni raisi) wao imeachwa wazi (haina jina la mtu wala cheo ila ina saini tu).......

huu mkataba akiondoka samia akaja mtu anaejitambua atauvunja vizuri kabisa
 
Article 3
The member Emirates shall exercise sovereignty over
their own territories and territorial waters in all matters which are
not within the jurisdiction of the Union as assigned in this
Constitution.
dubai ni nchi?
ni member UN?
 
Mkataba Kati ya serikali ya Tanzania na Dubai ni batili kwenye sheria za kimataifa. Maana ya kwamba Dubai sio sovereign state Kama jamhuri ya muungano wa Tanzania, hivyo haiwezi kuingia mikataba ya kimataifa.

Mikataba ya kimataifa inaingiwa na Falme ya Kiarabu inayotambulika kwenye sheria za kimataifa na sio Dubai ambayo ni sehemu ya UAE.

Hivyo naenda mahakamani kupinga mkataba huo au makubaliano hayo.

Kama hiyo ni hoja yenye nguvu basi Watz wengi tupo nyuma yako.
 
Mkataba Kati ya serikali ya Tanzania na Dubai ni batili kwenye sheria za kimataifa. Maana ya kwamba Dubai sio sovereign state Kama jamhuri ya muungano wa Tanzania, hivyo haiwezi kuingia mikataba ya kimataifa.

Mikataba ya kimataifa inaingiwa na Falme ya Kiarabu inayotambulika kwenye sheria za kimataifa na sio Dubai ambayo ni sehemu ya UAE.

Hivyo naenda mahakamani kupinga mkataba huo au makubaliano hayo.
Haya, kashitaki.
 
Kwani Barrick Tanzania ni sovereign state?
 
Back
Top Bottom