Missunderstand!Uzumbukuku Kwa Sisi watanzania Kwa sababu hatuna kampuni kama hiyo?
Mbona kampuni hiyo IPO USA, UK, ujerumani na China?
Hizo nchi nazo mazumbukuku au unaongea kitu hukijui??
State na state ,kwenye mkataba inamanisha nnWanaoingia Ubia ni DP World na TPA.
Siyo nchi ya Dubai. Ni kampuni inayomilikiwa na serikali yake.
Usijisumbue.
Bunge limeridhia mkataba au makubaliano?. Kasome Geneva Convention on the Law of Treaties uone grounds za kuinvalidate mkataba wa kimataifa. Moja wapo ni error.Umechelewa. Hakuna awezaye kuhoji tena huo mkataba baada ya bunge letu tukufu kuridhia.
[emoji1]Kuna eneo lako la mwili linaumwa, Mungu huwa anawashughulikia hawa watu taratibu tu, hawatambi milele, waache na zuluma zao wakijinufaisha wenyewe.
Nakusapoti kwa 100% ukihitaji mchango nipo tayari kutembeza bakuli nchi nzimaMkataba Kati ya serikali ya Tanzania na Dubai ni batili kwenye sheria za kimataifa. Maana ya kwamba Dubai sio sovereign state Kama jamhuri ya muungano wa Tanzania, hivyo haiwezi kuingia mikataba ya kimataifa.
Mikataba ya kimataifa inaingiwa na Falme ya Kiarabu inayotambulika kwenye sheria za kimataifa na sio Dubai ambayo ni sehemu ya UAE.
Hivyo naenda mahakamani kupinga mkataba huo au makubaliano hayo.
Yuko sahihi Kuna mkataba wa mashirikiano ambao ulisainiwa na waziri wa ujenzi na viongozi wa Dubai. Kike kilichokuwa kinajadiliwa bungeni Leo ni MOU" Yani hati ya maridhianoWanaoingia Ubia ni DP World na TPA.
Siyo nchi ya Dubai. Ni kampuni inayomilikiwa na serikali yake.
Usijisumbue.
Hiyo ni katiba ya united Arab Emirates na siyo ya Dubai... Dubai sio nchi ni capital city (Hapa nisahishwe kama nimekosea). Dubai ni tofauti kabisa na Vatican ambayo ni nchi ndani ya nchi.Umesoma Katiba ya U.A.E.?
Icheki Google uisome uone powers za Emirates zikoje.
Mtahangaika mpaka mtage wallahi!
Tunakutakia mafanikio msomi Keyboard lawyerHapana, kwa sheria mama ya mikataba ya kimataifa ya Geneva Convention on the Law of Treaties ya mwaka 1969, bado naruhusiwa kuchallenge huo mkataba maana ni batili.