Article 3Umesoma Katiba ya U.A.E.?
Icheki Google uisome uone powers za Emirates zikoje.
Mtahangaika mpaka mtage wallahi!
Hatutagi hapa wewe kilaza. Nilishaisoma hiyo katiba zamani Sana. Mimi naongelea sovereighty ya Dubai mpaka mkataba wake uingie kwenye kuridhiwa na Bunge. Kasome status ya Federation kwenye ibara ya pili ya Montevideo Convention ya mwaka 1933 halafu uniambie, URT ilitakiwa iingie mkataba au makubaliano na Dubai au UAE, na kwenye sheria za kimataifa inayombulika Ni UAE au Dubai?.Umesoma Katiba ya U.A.E.?
Icheki Google uisome uone powers za Emirates zikoje.
Mtahangaika mpaka mtage wallahi!
Kama ni batili nenda mahakamani fastaaaa.Mkataba Kati ya serikali ya Tanzania na Dubai ni batili kwenye sheria za kimataifa. Maana ya kwamba Dubai sio sovereign state Kama jamhuri ya muungano wa Tanzania, hivyo haiwezi kuingia mikataba ya kimataifa.
Mikataba ya kimataifa inaingiwa na Falme ya Kiarabu inayotambulika kwenye sheria za kimataifa na sio Dubai ambayo ni sehemu ya UAE.
Hivyo naenda mahakamani kupinga mkataba huo au makubaliano hayo.
Sasa tujiulize Dubai Wana capacity to enter international agreements on their behalf?.Article 3
The member Emirates shall exercise sovereignty over
their own territories and territorial waters in all matters which are
not within the jurisdiction of the Union as assigned in this
Constitution.
Kalale na tafuta ugali na tembele ukale na wanao. Acha kupoteza muda wako kwa mambo ambao yako kwenye mstari.Ndio nipo kwenye process jumatatu na file application.
nchi inachanja mbuga we unavuta shati ,zinduka wezako wanarauka we unapiga usingizi
nchi inachanja mbuga we unavuta shati ,zinduka wezako wanarauka we unapiga usingizi
Una hakika huko walipo wamewekewa terms za hovyo kwenye mkataba kama hizo walizowekewa kwetu?Uzumbukuku Kwa Sisi watanzania Kwa sababu hatuna kampuni kama hiyo?
Mbona kampuni hiyo IPO USA, UK, ujerumani na China?
Hizo nchi nazo mazumbukuku au unaongea kitu hukijui??
Sio mwanasheria Mimi lkn hapo nimeelewa wata exercise sovereignty kwenye mamlaka ndani ya Dubai na maji yanayowazunguka baaas..... Kwa muktada huu jamhuri ya muungano ilipaswa kuzingua mkataba na UAE na sio mamlaka ya Dubai. Hivi nikuulize swali je Kuna balozi za Dubai hapa?? Ama ushawahi kuona balozi za Zanzibar huko nje???Article 3
The member Emirates shall exercise sovereignty over
their own territories and territorial waters in all matters which are
not within the jurisdiction of the Union as assigned in this
Constitution.
uko sahihi mkuu, ndio mana kwenye ile IGA upande wa dubai ile nafasi ya anaekasimisha madaraka (sisi ni raisi) wao imeachwa wazi (haina jina la mtu wala cheo ila ina saini tu).......Hiyo intergovermentalism agreement unaielewa.
dubai ni nchi?Article 3
The member Emirates shall exercise sovereignty over
their own territories and territorial waters in all matters which are
not within the jurisdiction of the Union as assigned in this
Constitution.
Mkataba Kati ya serikali ya Tanzania na Dubai ni batili kwenye sheria za kimataifa. Maana ya kwamba Dubai sio sovereign state Kama jamhuri ya muungano wa Tanzania, hivyo haiwezi kuingia mikataba ya kimataifa.
Mikataba ya kimataifa inaingiwa na Falme ya Kiarabu inayotambulika kwenye sheria za kimataifa na sio Dubai ambayo ni sehemu ya UAE.
Hivyo naenda mahakamani kupinga mkataba huo au makubaliano hayo.
Umechelewa. Hakuna awezaye kuhoji tena huo mkataba baada ya bunge letu tukufu kuridhia.
Haya, kashitaki.Mkataba Kati ya serikali ya Tanzania na Dubai ni batili kwenye sheria za kimataifa. Maana ya kwamba Dubai sio sovereign state Kama jamhuri ya muungano wa Tanzania, hivyo haiwezi kuingia mikataba ya kimataifa.
Mikataba ya kimataifa inaingiwa na Falme ya Kiarabu inayotambulika kwenye sheria za kimataifa na sio Dubai ambayo ni sehemu ya UAE.
Hivyo naenda mahakamani kupinga mkataba huo au makubaliano hayo.
Kwani Barrick Tanzania ni sovereign state?Mkataba Kati ya serikali ya Tanzania na Dubai ni batili kwenye sheria za kimataifa. Maana ya kwamba Dubai sio sovereign state Kama jamhuri ya muungano wa Tanzania, hivyo haiwezi kuingia mikataba ya kimataifa.
Mikataba ya kimataifa inaingiwa na Falme ya Kiarabu inayotambulika kwenye sheria za kimataifa na sio Dubai ambayo ni sehemu ya UAE.
Hivyo naenda mahakamani kupinga mkataba huo au makubaliano hayo.
Kwani Barrick Tanzania ni sovereign state?