wansawa JF-Expert Member Joined Oct 11, 2020 Posts 857 Reaction score 857 Jun 11, 2023 #61 econonist said: Kwa mjadala wa leo ni kwamba mikataba yote itakuwa Chini ya hii agreement. Sasa swali ni kwamba Dubai ni nchi kimataifa au semiautonomous? Click to expand... Vyema mukulu je; unaweza kutoa somo kwa lugha nyepesi, (Swahili).
econonist said: Kwa mjadala wa leo ni kwamba mikataba yote itakuwa Chini ya hii agreement. Sasa swali ni kwamba Dubai ni nchi kimataifa au semiautonomous? Click to expand... Vyema mukulu je; unaweza kutoa somo kwa lugha nyepesi, (Swahili).
DINHO JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 880 Reaction score 1,750 Jun 11, 2023 #62 dong yi said: dubai ni nchi? ni member UN? Click to expand... Zanzibar ni member wa UN? Monaco ni Member wa UN?
dong yi said: dubai ni nchi? ni member UN? Click to expand... Zanzibar ni member wa UN? Monaco ni Member wa UN?
A Algore JF-Expert Member Joined Apr 26, 2020 Posts 2,363 Reaction score 3,795 Jun 11, 2023 #63 Mokaze said: Bunge tukufu au Bunge haramu??!--- lina utukufu gani?? Click to expand... Futa kauli yako ndugu yangu, ndugai atakuita bungeni ukajieleze. Unakumbuka jinsi yule CAG alivyochafukwa na tumbo baada ya kuitwa bungeni? Jitayarishe.
Mokaze said: Bunge tukufu au Bunge haramu??!--- lina utukufu gani?? Click to expand... Futa kauli yako ndugu yangu, ndugai atakuita bungeni ukajieleze. Unakumbuka jinsi yule CAG alivyochafukwa na tumbo baada ya kuitwa bungeni? Jitayarishe.
Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,370 Reaction score 14,929 Jun 11, 2023 #64 Algore said: Futa kauli yako ndugu yangu, ndugai atakuita bungeni ukajieleze. Unakumbuka jinsi yule CAG alivyochafukwa na tumbo baada ya kuitwa bungeni? Jitayarishe. Click to expand... Mtukufu ni Mungu pekee kama Bunge limejipa sifa ya Mungu ya utukufu hiyo ni juu yao. Wale "wabunge" 19 wamo bungeni kinyume cha sheria, ni bunge gani "tukufu" linalovunja sheria za nchi??!
Algore said: Futa kauli yako ndugu yangu, ndugai atakuita bungeni ukajieleze. Unakumbuka jinsi yule CAG alivyochafukwa na tumbo baada ya kuitwa bungeni? Jitayarishe. Click to expand... Mtukufu ni Mungu pekee kama Bunge limejipa sifa ya Mungu ya utukufu hiyo ni juu yao. Wale "wabunge" 19 wamo bungeni kinyume cha sheria, ni bunge gani "tukufu" linalovunja sheria za nchi??!