Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mkuu hilo la kuimarisha reli ili iweze kutumika tena kwa faida ni jambo la msingi.Hizi ndizo taarifa kutoka vyanzo nilivyovipata hadi sasa China signs deal to upgrade decades-old railway between Zambia and Tanzania na China to 'revitalise' ageing railway linking Zambia, Tanzania.
The upgrade of the TAZARA railway by China will focus on improving the existing meter-gauge railway (MGR) infrastructure. This includes enhancing the tracks, signaling systems, and rolling stock to increase efficiency and capacity. The goal is to boost the rail-sea transportation network in East Africa, particularly aiding Zambia’s copper exports.
Lengo kubwa la reli ya TAZARA ni usafirishaji wa mizigo na sio abiria lakini ingekuwa vizuri ikawa SGR, upana huu huwezesha treni zenye mwendo na uzito mkubwa zaidi kupita. CCM mpo wapi?!
Kuna watu wanadai eti tusiikubali relilazima iwe na viwango vya SGR.
Hilo haliwezekani maana ni kama unataka mzee wa miaka 50 mwenye kiuno inchi 38, avai jeans ya kiuno inchi 20!!!!
Anaweza kuvaa lakini jeans itatatuka na hatkuwa na mwendo, maana hata sehmu nyeti zimebana vibaya!