zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Jeshi la polisi ni nani na Polisi ni nani? Mboni unavuruga ubongo?Polisi wanaogopa Sana matapeli kuliko jeshi la polisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jeshi la polisi ni nani na Polisi ni nani? Mboni unavuruga ubongo?Polisi wanaogopa Sana matapeli kuliko jeshi la polisi.
🤣 ccm hawana suluhisho la ukosefu wa ajira kwa vijana. Suluhisho walionalo ni kuwashughulikia watu wenye mdomo mdomo kuhusu ukosefu wa ajira 🤣 yaani wanahofu juu ya umaarufu na ushawishi wa hao watu usije ukatumika kuchochea watu kuitoa ccm madarakani kwenye uchaguzi 🤣 au kwa maandamano makubwa mpaka ikulu 🤣🤣Ni ukweli unaousema sasa wao hao Chama A kwanini wanaogopa kuambiwa ukweli huo kuhusu suala la ajira? Of course yes majority vijana wengi hawana ajira sasa wao wakiambiwa hivyo si inabidi watafute ufumbuzi kwanini waogope kuambiwa ukweli?
UKiona hivyo, hicho sio chama cha mbogamboga, hicho ni chama dume mkuu.Mkuu hatuna upinzani wenye nguvu ya kukitoa chama cha mbogamboga madarakani kwa mifumo ya sasa.
Mbona habari haieleweki? Kamilisha taarifa
Utakua unaota wewe, au hujawahi kuishi Tanzania. Soma chini hapo uone maafisa wa polisi tena wakiwa na vyeo vikubwa walipoenda kumkamata na kumuua mfanyabiashara na kuchukua pesa zake.Polisi hawakufuati tu bila tatizo,kuna kitu lusako kafanya
Mbona habari haieleweki? Kamilisha taarifa
Wameenda kumteka Alphonce Lusako, Baadaye atakuja Afande Muliro na kundi la wauza mitumba na kuwasingizia kuwa ndio watekajiMbona habari haieleweki? Kamilisha taarifa
Swala la kutoa Chama kingine madarakani siyo swala la upinzani wenye nguvu, hilo ni jambo la maamuzi ya watu wenye nguvu.Mkuu hatuna upinzani wenye nguvu ya kukitoa chama cha mbogamboga madarakani kwa mifumo ya sasa.
Anayewafahamu hawa awataje kwa majina ili Wazazi wao wafahamu kwamba walizaa WatekajiVideo ya watu waliojitambulisha kuwa ni Askari Polisi wakivamia ofisi za Taasisi ya Reachout Tanzania zilizopo eneo la Makumbusho jijini Dar es Salaam, wakimtafuta Mwanasheria wa taasisi hiyo, Lusako Alphonce
Inaelezwa watu hao walifika wakiwa katika kundi kubwa ambapo wenye mitutu ya bunduki walibaki nje kwenye gari (hawaonekani kwenye CCTV), na wawili wenye bastola waliingia ndani kumsaka Lusako, kama walivyonaswa kwenye camera.!
Pia, Soma: Polisi wadaiwa kuvamia Ofisi za Reachout Tanzania Makumbusho, wakidai kumtafuta Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini
Wewe unaweza kupambana?Watanzania ndiyo hawana nguvu msikimbilie kusema hakuna upinzani wenye nguvu.
Juzi Nondo katekwa hadharani nani alipambana kuzuia asitekwe?
Yule wa Chamwino ni nani?Hii nchi haina kiongozi kabisa!
Kabisa...Nguvu ya upinzani inategemwa nguvu ya watu.
Kupambanaje?Wewe unaweza kupambana?