gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Tofauti hiyo,najua utaniletea ya zombe pia, polisi na uniform kukufuata ofisini ni very official,kuna kituUtakua unaota wewe, au hujawahi kuishi Tanzania. Soma chini hapo uone maafisa wa polisi tena wakiwa na vyeo vikubwa walipoenda kumkamata na kumuua mfanyabiashara na kuchukua pesa zake.
Sasa hivi wote wapo jela
Mtwara: Jinsi Askari Polisi akiwemo Mkuu wa Kituo na Upelelezi walivyoshiriki Mauaji ya Mfanyabiashara wa Madini
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Yustino John Mgonja ameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara namna mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamis Hamis, alivyouawa. Pia, amewataja washtakiwa waliokuwepo eneo la tukio na yule...www.jamiiforums.com