Makundi mbalimbali ya Watanzania wanaoichukia serikali ya Rais Magufuli na kwanini wanaichukia...

Hawa UVCCM hawatakuelewa, tatizo lao wameambiwa kuwa uzalendo ni kuipigania CCM
 
Msinge somba watu na malory kwenye mikutano yake
naomba nkurekebishe hapo "msinge" sema wasinge.. maana mm si katika wao ila nmezungumzia uhalisia tulio nao mitaani na kwa watanzania wengi..
 
Rais Magufuli ni rais anayependwa mno na wananchi wake. Shida yenu mnafanya tathmini kwa kuangalia comments za bavicha humu jamiiforums. Nenda mitaani huko waliko wapiga kura.

Sent using Jamii Forums mobile app
LABDA UNA MPENDA WEWE NA UKOO WENU. MAGUFURI ANA CHUKIWA MNO HASA NA VIJANA. NIKI ANZA NA MIMI MWENYEWE NAM CHUKIA MAGUFURI KULIKO KITU CHOCHOTE KILE ANA ROHO MBAYA SANA I NEVER SEEN BEFORE
 
Una uhakika gani kuwa sijafanya research?
Au mapenzi yamekuzidi?
sio mapenzi.. ila it is vivid mkuu, watu wanalalamika magufuli kakaza ila ukiwauliza tna in other terms bado wanakwambia "magufuli jembe*.. binafsi mimi ni mzee wa kushinda vijiwe nongwa nnapokua offwork, hvo hili swala naliona hata katika safari zangu baadhi ya mikoa nmeona sana.
 
Ukiwa hai hata kama wewe ni mtume ua Nabii, ni lazima utakuwa na maadui.
kitu cha maana kwa mwanadamu mwenye Dini, unatakiwa kutii amri kumi za Mungu basi.
Watu kukiri uzuri na ubaya wako ni baada ya kifo.
Mwanadamu akiua baadaye anapata majonzi kwa sababu ametenda dhambi.
Yusufu, mwana wa Yakopo, (Muisrael aliyeandikwa kwenye Biblia) aliyewahi kuwa waziri mkuu ya Misri hakufanya kosa lolote kwa ndugu zake lakini walimchukia hadi wakataka kumuua lakini baadaye walimuuza utumwani.
Yesu Kristo aliuwawa lakini mhaifu Baraba aliachiliwa huru.
Kama unachukia mtu bila sababu unatenda dhambi.
Kidini kumchukia mtu hata kama amekukosea pia ni dhambi.
Rais aliyeko madarakani hakupindua Inchi, amechaguliwa kupitia sanduku la kura na ana muda wa kutawala. Tufuate katiba, tumpe nafasi amalize muda wake bila kupoteza muda kumsuta.
Yeye hajatuzuia kufanya kazi, hajataifisha mali zetu, amani ipo Inchini kwa sababu majambazi yamepungua sana.
Amani ya kwenye Siasa ambayo inahusu watu wasioi zidi asilimia .0001%, haitufanya Watanzania tulio wengi kumkataa Rais kwa sababu kwa utashi wake anaona kwa kuzuia malumbano ya Kisiasa kwenye majukwaa baada ya uchaguzi kutamanya aongoze Inchi vizuri zaidi na kwa Maslahi mapana ya Taifa.
TUWE NA SUBIRA.
 
Ni mtaa gani huo ambao anakubalika?unadhani mwandishi anaishi Jamii Forum haishi mitaani,au sisi tunaounga mkono tunatokea angani?sote tuko mitaani tunaona uhalisia,sio wafanya biashara,wahitimu (graduates ),wafanyakazi (kumbuka hawajapandishiwa mishahara wala madaraja mwaka wa tano huu jambo ambalo liko kisheria kabisa),wanavyuo mikopo shida hadi wanaanzisha migomo na wengine wanatimuliwa (husikii)?.,wakulima (au suala la korosho na pamba hulijui)?wananchi wa kawaida wanaishi kwa wasiwasi hawana uhakika na kesho yao (wasiojulikana),wapinzani ambao ni zaidi ya milioni 7 (rejea kura za ukawa na wengine wameongezeka zaidi hawampendi) sasa hawa wanaompenda mtaani ni kina nan wachawi au?.
 
Sema wewe na wenzako wa JF! Piga ua hapa TZ anapendwa na 80% ya watu walio nje ya JF.
 
Chuki dhidi ya Magufuli zimo humu JF, ila kiuhalisia ukienda mtaani Magufuli anakubalika na kupendwa sana na wananchi.

Nenda hata kwenye YouTube angalia video mbalimbali za Magufuli akiwa anahutubia kisha soma scroll down usome zile comments ndio utaelewa uhalisia wa kauli za wananchi.

Magufuli tunampenda na kumkubali sana, anatekeleza kwa asilimia kubwa yale ambayo tuliyapigia kelele enzi za Serikali ya Kikwete na Mkapa,,,, najisikia fahari kuona kodi yangu inatumika ipasavyo ktk kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo sio wizi wizi kama awamu zilizopita..!!!

Mungu mbariki Rais wetu JPM, Mungu ibariki Tanzania
 
Rais tuliyenaye sasa ana maono,anauthubutu na ni mkali.Kwa Watanzania tulipokuwa tumefika,huyu ndiye Rais tunayehitaji.Infact mimi ningetamani awe mkali na awe na uthubutu zaidi.
Ukiwa umekufa hujui chochote maana maumivu yote wanahisi ndugu zako na watu wako wa karibu,jambo hilo hilo hutokea pindi mtu akiamua kuwa mjinga.
 
kabla sijakujibu hili unadhani watanzania wangapi wanaweza kujiuliza na kuresonate maswali na hoja za msingi kama zako!? nakuunga mkono unayosema ni kweli kabisa. ila bado watu mnaowaita "wajinga" wanamkubali na wako wengi mkuu.

hili swala tutabishana hata siku nzima na usikubali kwasababu tayari ushajenga msimamo ambao hauko tayar kuubadili kwa vyovyote.
 
Hilo swala liko wazi na dunia nzima inafahamu. Anaebisha labda ana ugonjwa wa akili au ni mnufaika.
 
Post No. 114 imemaliza kila kitu, kama ni sperm basi ndiyo ya kutunga mimba, hizo zingine zinaenda off target.
Hail the author of that post.
 

Hata hujui “mchimba chumvi” ni figurative language/metaphorically meaning “mlalahoi”

Ulivyo na akili ya mavini umekimbilia kudhani ni mtu anachimba chumvi kabisa physically!

Wewe una mawazo yako binafsi!?Oh yeah?

Sawa unayo mawazo yako binafsi,tunachoangalia ni quality ya mawazo yako hayo,ni mabovu kama mavi!

Who cares about mawazo yako mabovu?Nobody!
 
"Nadhani mnakumbuka incidence ambayo mmiliki wa mabasi ya kampuni fulani alishiriki kung'oa mataruma ya reli ya Moshi-Arusha.Episode ile ina-prove kwamba point hii ni kweli".

Mkuu kwa taarifa yako RPC Kilimanjaro alikanusha huo uongo. Huo ulikuwa uzushi wa kijinga kwa nia ya kupakana matope na kuonyesha watu fulani wanapinga juhudi za kufufua reli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…