Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,509
- 16,734
Kilichoipta Urusi kule Afghanistan miaka ya 1979 na Marekani kule Vietnam mwaka 1975 na Afghanistan tena mwaka 2021 ndicho kilnachoelekea kuipata Israel huko Gaza mwaka huu 2025
Marekani na Urusi walimiliki kila kitu lakini katika hali ya ajabu kabisa wakalazimika kuwakimbia kwa hofu watu dhaifu waliokuwa wakipigana nao.
Katika wiki hii ambapo Israel chini ya Benjamin Netanyahu inajitayarisha kuiteka Gaza yote na kujitangazia ushindi kuna taarifa kadhaa za kushangaza za kuibuka wapiganaji wapya katikati ya vifusi vya Gaza wakipigana kwa ufanisi na kuleta maafa kwa majeshi ya Israel.
Mara kadhaa majeshi hayo yakijiona yapo maeneo salama ambayo hayana dalili za uhai ghafla hujikuta wamezingirwa na kurushiwa maguruneti yanayowaletea vifo na madhara makubwa..
Imezoeleka mashambulizi yoyote yanayofanyika Gaza kuchukuliwa kwamba ni kutoka Hamas.Hata hivyo makundi hayo mapya ni wapiganaji tofauti na wenye hamasa zaidi za kupigana.
Taarifa hizo ndizo zinazowatisha vijana wengi wa Israel wanaotakiwa kujiunga jeshini kwa nguvu pamoja na askari walioandikishwa kukimbilia mafichoni wakiona hawaelewi wanapigana na adui wa aina gani.
View: https://www.youtube.com/watch?v=clx1OZkeCWU