Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,509
- 16,734
- Thread starter
- #41
Orodha zako za waliouliwa zinajibiwa na maneno machache tu.Kuwa maghorofa kahdaa ya Tel Aviv na waisrael wengi waliuliwa mpaka Trump akalazimisha kusitisha vita wakati makamanda wote walikuwa hawapo tena.Kipindi cha vita ya siku 12 wengi tuchokiona kinachekesha sana!!!
1. Tuliona makamanda waandamizi wa Jeshi la Iran 30+ akiwemo Mkuu wa majeshi waliangamizwa bila huruma na Majeshi hodari ya Israel.
2. Tuliona wanasayansi wa Nuclear 60+ waliangamizwa bila huruma na Majeshi ya Israel!
3.. Tuliona Kikosi cha wanamaji huko Bandar Abbas kiki Urugwaj na kusambaratishwa kabisa na Majeshi ya Israel
4. Tuliona Jeshi la anga la Iran likiufyata mkia mbele ya ndege-vita za Israel ambazo zilikuwa zinaingia na kutoka na kupiga popote nchini Iran
5. Tuliona Air Defense za Iran zilivyoshindwa kuangusha hata ndege-vita moja ya Israel hivyo kudhibitisha wazi kuwa Israel ilimiliki anga lote la Iran.!!
6. Kwa siku 12 za vita na Iran hatukuona wala tu kusikia askari wa Israel yeyote aliyekufa kutokana na vita hivyo vya siku 12.
7. Tulichokiona kutoka Majeshi ya Iran ni kushambuliwa kwa maeneo ya kiraia hivyo tuliona mauaji ya raia wasio na hatia tu.
Ushindi wa Israel kwa maana hiyo haupo.