Makundi ya ajabu yaibuka kwenye vifusi Gaza kupambana na majeshi ya Israel

Makundi ya ajabu yaibuka kwenye vifusi Gaza kupambana na majeshi ya Israel

askari 60000 kuiteka GAZA tu!!!
sasa hawa israel wataweza kweli kupigana n MUAJEMI?
Askari 60000 hawajatimia au tuseme hawajapatikana.
Makamanda wazoefu wa vita wa IDF wameshaanza kukumbusha ushauri wao uliopuuzwa na Netanyahu.

Former IDF Chief of Staff Lt. Gen. Dan Halutz, who led the military during the 2006 war with Lebanon, predicted not all the reservists would show up for duty.
“I believe that some of them will stay home,” he told CNN at a protest by Air Force reservists earlier this month. “The war is over a year ago,” said Halutz, describing the current plan as having “no logic.” The retired general was careful not to call on Israelis to refuse to serve, but he encouraged reservists to “act according to his conscience, to his set of rules.”
 
Barua idadi hiyo zimetolewa na majibu hayaridhishi.Kila anayeipokea anajificha.
Soma uchambuzi huu unaohusisha kamanda mkuu wa majeshi ya Israel.Utaona tatizo ambalo limeshaikumba Israel

As Israel begins offensive on Gaza City, an exhausted military may face a manpower problem​

Nimesoma aisee aisee inashangaza sana...

Yaani Hamas ndani ya kieneo kama Gaza inakuwaje wanapambana na IDF hadi wanaita majeshi ya akiba?

IDF inawazidi Hamas kwa wingi wa askari, silaha na support...

Inashangaza sana..
 
Askari 60000 hawajatimia au tuseme hawajapatikana.
Makamanda wazoefu wa vita wa IDF wameshaanza kukumbusha ushauri wao uliopuuzwa na Netanyahu.

Former IDF Chief of Staff Lt. Gen. Dan Halutz, who led the military during the 2006 war with Lebanon, predicted not all the reservists would show up for duty.
“I believe that some of them will stay home,” he told CNN at a protest by Air Force reservists earlier this month. “The war is over a year ago,” said Halutz, describing the current plan as having “no logic.” The retired general was careful not to call on Israelis to refuse to serve, but he encouraged reservists to “act according to his conscience, to his set of rules.”
Wanataka kuwalazimisha na wale ultra orthodox waingie vitani, jamaa wamekataa...
Hii ni aibu..
Netanyahu anaona aibu..
 
Hii inanikumbusha vita vya badr
Mungu aliyeleta ushindi kwenye vita vya Badr ndiye huyo huyo ambaye anaona na akipenda huleta ushindi popote pale anapopenda na anapoona dhulma zimepita kipimo.
 
Kinachofuata ni kushindwa kwa Israel mbele ya macho ya dunia nzima
Toka Israel ianze kupigana vita haijawahi kushindwa hata vita moja!! Endeleeni tu kujidanganya nafsi zenu lakini wa kuishinda Israel bado hajazaliwa!!
 

Attachments

  • IMG_1124.jpeg
    IMG_1124.jpeg
    110.1 KB · Views: 27
Kutokea wapi wkt vijana wanakimbia Vita iyo 60000 ni propaganda za kijesh hakuna 60000 kwasasa wachovu sana IDF muda ndio Mwalimu.
Safari hii mtanyooka tu mtadanganyana sana lakini mwisho wa siku lazima magaidi wa Hamas watafyekelewa mbali tena bila huruma!!
 
Toka Israel ianze kupigana vita haijawahi kushindwa hata vita moja!! Endeleeni tu kujidanganya nafsi zenu lakini wa kuishinda Israel bado hajazaliwa!!
Maneno unayosema sisi wenye imani sahihi tunaita ni kufru na kibri.
Wewe hupaswi kuwasemea mayahudi kwa lugha hiyo ambapo hata Ben Gvir akiona hali ilivyo Gaza na kiilichotokea wakati wa vita vya siku 12 na Iran anajizuia kusema kama hivyo.
 
Jeshi la IDF ni wabovu kwenye ardhi, nakubali wana vifaa bora na ni wazuri angani, lakini kibaya zaidi kinachotakiwa pale Gaza ni jeshi bora kabisa na lililoiva haswa ardhini ndipo wanaweza kukabiliana na Hamas...

Ndio maana wamelipua Gaza wameimaliza lakini hakuna matumaini ya
kushinda hio vita...

Mara nyingi sana wanapigwa ambush na kumalizwa...
Boots on the ground always counts a lot my dear, Israel's formidable flying machines notwithstanding, Israel should always remember that they will never, repeat, will never ever defeat a well organised and determined hit and run fellas "freedom fighters" take it or ignore it its Up2 Israel herself.
 
Maneno unayosema sisi wenye imani sahihi tunaita ni kufru na kibri.
Wewe hupaswi kuwasemea mayahudi kwa lugha hiyo ambapo hata Ben Gvir akiona hali ilivyo Gaza na kiilichotokea wakati wa vita vya siku 12 na Iran anajizuia kusema kama hivyo.
Kipindi cha vita ya siku 12 wengi tuchokiona kinachekesha sana!!!
1. Tuliona makamanda waandamizi wa Jeshi la Iran 30+ akiwemo Mkuu wa majeshi waliangamizwa bila huruma na Majeshi hodari ya Israel.
2. Tuliona wanasayansi wa Nuclear 60+ waliangamizwa bila huruma na Majeshi ya Israel!
3.. Tuliona Kikosi cha wanamaji huko Bandar Abbas kiki Urugwaj na kusambaratishwa kabisa na Majeshi ya Israel
4. Tuliona Jeshi la anga la Iran likiufyata mkia mbele ya ndege-vita za Israel ambazo zilikuwa zinaingia na kutoka na kupiga popote nchini Iran
5. Tuliona Air Defense za Iran zilivyoshindwa kuangusha hata ndege-vita moja ya Israel hivyo kudhibitisha wazi kuwa Israel ilimiliki anga lote la Iran.!!
6. Kwa siku 12 za vita na Iran hatukuona wala tu kusikia askari wa Israel yeyote aliyekufa kutokana na vita hivyo vya siku 12.
7. Tulichokiona kutoka Majeshi ya Iran ni kushambuliwa kwa maeneo ya kiraia hivyo tuliona mauaji ya raia wasio na hatia tu.
 

Attachments

  • IMG_3499.jpeg
    IMG_3499.jpeg
    132.9 KB · Views: 18
  • IMG_3483.jpeg
    IMG_3483.jpeg
    59.3 KB · Views: 22
  • IMG_3479.jpeg
    IMG_3479.jpeg
    351.6 KB · Views: 21
  • IMG_3466.jpeg
    IMG_3466.jpeg
    339.2 KB · Views: 20
  • IMG_3401.jpeg
    IMG_3401.jpeg
    59.9 KB · Views: 19
  • IMG_3402.jpeg
    IMG_3402.jpeg
    112.9 KB · Views: 20
  • IMG_3403.jpeg
    IMG_3403.jpeg
    130 KB · Views: 19
  • IMG_3404.jpeg
    IMG_3404.jpeg
    72.7 KB · Views: 22
  • IMG_3405.jpeg
    IMG_3405.jpeg
    65.3 KB · Views: 22
  • IMG_3406.jpeg
    IMG_3406.jpeg
    68.7 KB · Views: 20
  • IMG_3414.jpeg
    IMG_3414.jpeg
    197.7 KB · Views: 24
  • IMG_3419.jpeg
    IMG_3419.jpeg
    47.3 KB · Views: 21
Kipindi cha vita ya siku 12 wengi tuchokiona kinachekesha sana!!!
1. Tuliona makamanda waandamizi wa Jeshi la Iran 30+ akiwemo Mkuu wa majeshi waliangamizwa bila huruma na Majeshi hodari ya Israel.
2. Tuliona wanasayansi wa Nuclear 60+ waliangamizwa bila huruma na Majeshi ya Israel!
3.. Tuliona Kikosi cha wanamaji huko Bandar Abbas kiki Urugwaj na kusambaratishwa kabisa na Majeshi ya Israel
4. Tuliona Jeshi la anga la Iran likiufyata mkia mbele ya ndege-vita za Israel ambazo zilikuwa zinaingia na kutoka na kupiga popote nchini Iran
5. Tuliona Air Defense za Iran zilivyoshindwa kuangusha hata ndege-vita moja ya Israel hivyo kudhibitisha wazi kuwa Israel ilimiliki anga lote la Iran.!!
6. Kwa siku 12 za vita na Iran hatukuona wala tu kusikia askari wa Israel yeyote aliyekufa kutokana na vita hivyo vya siku 12.
7. Tulichokiona kutoka Majeshi ya Iran ni kushambuliwa kwa maeneo ya kiraia hivyo tuliona mauaji ya raia wasio na hatia tu.
Watu wamelala wewe unawavizia kuwauwa si ugaidi huo
 
Watu wamelala wewe unawavizia kuwauwa si ugaidi huo
Mkuu hizo ni dalili za woga na wala sio ujasiri - wanawaua wanawake na watoto halafu media za magharibi na baadhi ya watu Duniani wanashabikia ushetani huo husio na kifani, hama kweli wakati mwingine kumbe makosa ya war crime yana lipa, ebu anagalia Israel si bado inadunda tu nani anaisema, niliwahi kusikia mara moja tu kwamba ICC inataka kumkamata Natenyahu na kumburuza mahakamani huko the Hague kujibu mashtaka ya uharifu wa kivita lakini Merikani specifically Trump wakaitetea Israel/Natenyahu, kwa Merikani na baadhi ya mataifa mengine wanachukulia raia wa Kipalestina ni expandable, Wapalestina wanaweza kuuwawa anytime bila ya Taifa hilo au viongozi wao rising a finger wakipinga udhalimu wa Wayahudi dhidi ya Wapalestina, lakini Trump/Merikani wako radhi kutoa ultimatum kwa kundi la Hamas na wengine eti wajisalimishe haraka iwezekanavyo na kuwachia mateka or else watakiona!! - So sad don't you think??
 
Back
Top Bottom