Umeenda choo mjinga wewe, akili yako ina mafi. NEnda kapunguze hiyo kitu huko kichwani💩Kinachofuata ni kushindwa kwa Israel mbele ya macho ya dunia nzima
Kilichoipta Urusi kule Afghanistan miaka ya 1979 na Marekani kule Vietnam mwaka 1975 na Afghanistan tena mwaka 2021 ndicho kilnachoelekea kuipata Israel huko Gaza mwaka huu 2025
Marekani na Urusi walimiliki kila kitu lakini katika hali ya ajabu kabisa wakalazimika kuwakimbia kwa hofu watu dhaifu waliokuwa wakipigana nao.
Katika wiki hii ambapo Israel chini ya Benjamin Netanyahu inajitayarisha kuiteka Gaza yote na kujitangazia ushindi kuna taarifa kadhaa za kushangaza za kuibuka wapiganaji wapya katikati ya vifusi vya Gaza wakipigana kwa ufanisi na kuleta maafa kwa majeshi ya Israel.
Mara kadhaa majeshi hayo yakijiona yapo maeneo salama ambayo hayana dalili za uhai ghafla hujikuta wamezingirwa na kurushiwa maguruneti yanayowaletea vifo na madhara makubwa..
Imezoeleka mashambulizi yoyote yanayofanyika Gaza kuchukuliwa kwamba ni kutoka Hamas.Hata hivyo makundi hayo mapya ni wapiganaji tofauti na wenye hamasa zaidi za kupigana.
Taarifa hizo ndizo zinazowatisha vijana wengi wa Israel wanaotakiwa kujiunga jeshini kwa nguvu pamoja na askari walioandikishwa kukimbilia mafichoni wakiona hawaelewi wanapigana na adui wa aina gani.
View: https://www.youtube.com/watch?v=clx1OZkeCWU
Watadundwa halafu watasema wameyashinda "mazayuni"! Hapohapo wataanza kuomba maji na chakula kitoke/kipitie kwa haohao mazayuni.Bloody kengez kabisa hao!Kwa sasav
Kwa sasa mnawaita wapiganaji wenye ari mpya . Israel akijibu mnalalamika anawapiga wanawake na watoto !!. Ukishajichanganya na raia . Tegemea maafa makubwa.
Imani yenu hiyo mnaijua wenyewe. Unafiki
kwa kweli sisi hatuhusikia.Tunashukuru tu kuwa dua zetu zimeanza kukubaliwa.Kwa sasav
Kwa sasa mnawaita wapiganaji wenye ari mpya . Israel akijibu mnalalamika anawapiga wanawake na watoto !!. Ukishajichanganya na raia . Tegemea maafa makubwa.
Imani yenu hiyo mnaijua wenyewe. Unafiki
Chakula ni haki yao wakati wamezuiliwa kufanya shughuli za kilimo.Watadundwa halafu watasema wameyashinda "mazayuni"! Hapohapo wataanza kuomba maji na chakula kitoke/kipitie kwa haohao mazayuni.Bloody kengez kabisa hao!
Jeshi la IDF ni wabovu kwenye ardhi, nakubali wana vifaa bora na ni wazuri angani, lakini kibaya zaidi kinachotakiwa pale Gaza ni jeshi bora kabisa na lililoiva haswa ardhini ndipo wanaweza kukabiliana na Hamas...Kwa sasav
Kwa sasa mnawaita wapiganaji wenye ari mpya . Israel akijibu mnalalamika anawapiga wanawake na watoto !!. Ukishajichanganya na raia . Tegemea maafa makubwa.
Imani yenu hiyo mnaijua wenyewe. Unafiki
Kwa nini Hamas wasiwape chakula hao akina mama na watoto wao?Wanapewa silaha bure na wajinga wenzao na kupigana halafu hawajui watakula au kunywa kitu gani?Mijinga hiyo!Chakula ni haki yao wakati wamezuiliwa kufanya shughuli za kilimo.
Hiyo ni vita gani anayopigana Netanyahu na watoto na akinamama aliowazuilia chakula.
Ndio uamuzi sahihi huo.Acha wapambane, kujitetea, wakizubaa watakufa kwa njaa, wakisimama watakufa kwa risasi, kwa hatua hiyo ni bora kupambana.
Wewe utakuwa ni Hams wa kijichi...Kilichoipta Urusi kule Afghanistan miaka ya 1979 na Marekani kule Vietnam mwaka 1975 na Afghanistan tena mwaka 2021 ndicho kilnachoelekea kuipata Israel huko Gaza mwaka huu 2025
Marekani na Urusi walimiliki kila kitu lakini katika hali ya ajabu kabisa wakalazimika kuwakimbia kwa hofu watu dhaifu waliokuwa wakipigana nao.
Katika wiki hii ambapo Israel chini ya Benjamin Netanyahu inajitayarisha kuiteka Gaza yote na kujitangazia ushindi kuna taarifa kadhaa za kushangaza za kuibuka wapiganaji wapya katikati ya vifusi vya Gaza wakipigana kwa ufanisi na kuleta maafa kwa majeshi ya Israel.
Mara kadhaa majeshi hayo yakijiona yapo maeneo salama ambayo hayana dalili za uhai ghafla hujikuta wamezingirwa na kurushiwa maguruneti yanayowaletea vifo na madhara makubwa..
Imezoeleka mashambulizi yoyote yanayofanyika Gaza kuchukuliwa kwamba ni kutoka Hamas.Hata hivyo makundi hayo mapya ni wapiganaji tofauti na wenye hamasa zaidi za kupigana.
Taarifa hizo ndizo zinazowatisha vijana wengi wa Israel wanaotakiwa kujiunga jeshini kwa nguvu pamoja na askari walioandikishwa kukimbilia mafichoni wakiona hawaelewi wanapigana na adui wa aina gani.
View: https://www.youtube.com/watch?v=clx1OZkeCWU
Barua idadi hiyo zimetolewa na majibu hayaridhishi.Kila anayeipokea anajificha.Israel inaleta askari wa akiba 60,000 kuiteka Gaza!