Makundi ya ajabu yaibuka kwenye vifusi Gaza kupambana na majeshi ya Israel

Orodha zako za waliouliwa zinajibiwa na maneno machache tu.Kuwa maghorofa kahdaa ya Tel Aviv na waisrael wengi waliuliwa mpaka Trump akalazimisha kusitisha vita wakati makamanda wote walikuwa hawapo tena.
Ushindi wa Israel kwa maana hiyo haupo.
 
Hamas wazidi kutamba kwamba mateka wanao maeneo ya Gaza City na wataendelea kuwateka askari wa Israel
 
Vipi kuhusu Gaidi Abu Obaida mnasafirisha au mnazika hapo hapo?
 

Mujahideen Brigades target Israeli soldiers near Gaza City​

Palestinian fighters from Mujahideen Brigades have claimed to have targeted and hit a group of Israeli soldiers in the Barasi area, south of Gaza City’s Zeitoun neighbuorhood.
In a statement, the fighters said they achieved “precise hits” using mortar shells.
Zeitoun has been the site of a mass-scale demolition campaign by the Israeli army in recent weeks, with hundreds of units of housing being destroyed as the Israeli army presses its Gaza City seizure plan.
aljazeera
 
Israel hawezi kushinda hi vita, nilisha wambia wakanisa lakini wabishi sana
Kanuni ya kutokushinda Israel ni moja tu ambayo ni ahadi ya Allah subhaanahu wa taala. Kwamba madhalimu hatima ya yote hawatawashinda wanaopigania haki hata kama wanaopigwa ni wachache na dhaifu bila kujali muda wa mapigano.
Allah huwa hawapi nafasi mafisadi kutangaza ushindi mbele ya wanaodhulumiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…