Vijimawe fulani vyeupe tulitumia zamani kwa ajili ya kutakatisha maji. Unadumbukiza kamoja tu kwenye pipa la maji machafu, baada ya muda kanavuta uchafu wote kuelekea chini.Shabu ndio kitu gani hicho? Mwana kulitafuta mwana kulipata..pambana dada
Du, hiyo ni kemikali inafanya Agglomeration ya viginaVijimawe fulani vyeupe tulitumia zamani kwa ajili ya kutakatisha maji. Unadumbukiza kamoja tu kwenye pipa la maji machafu, baada ya muda kanavuta uchafu wote kuelekea chini.
Aliweka asali, pipi kifua, sabuni za kuua bakteria, ndimu, maji ya ukoko, shabuu vinginevyo mategemeo yake uke uwe mdogo na amridhishe mpenzi wake. Matokeo yake amepata madhara na kizazi kimeoza.
Duh mbona ina fanya kazi kama kemikali tena tuna tumia kwenye water treatment mfano kwenye maji unaweza kuweka oxygen gas ikaenda ku reacts na heavy metal kama lead na mercury kuwa oxide(solid particle) then zina twama chini ya maji.....saa kweli mtu uende ukaweke kwenye papachu kweli...dah kweli k ni k.Vijimawe fulani vyeupe tulitumia zamani kwa ajili ya kutakatisha maji. Unadumbukiza kamoja tu kwenye pipa la maji machafu, baada ya muda kanavuta uchafu wote kuelekea chini.
Bora angekuwa anamridhisha mumewe. Mpenzi ambaye kesho anaoa kigori? Na kumzalia mtoto
Aliweka asali, pipi kifua, sabuni za kuua bakteria, ndimu, maji ya ukoko, shabuu vinginevyo mategemeo yake uke uwe mdogo na amridhishe mpenzi wake. Matokeo yake amepata madhara na kizazi kimeoza.
Siajabu walikuwa wanangombania bibie aliamua kuongeza kachumbari ili mpenzi awe wake.Bora.angekuwa anamridhisha mumewe. Mpenzi ambaye kesho anaoa kigori? Na kinamzalia mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawafundishi kumuomba Mungu kwa sala na maombiHahah.. Hao makungwi adi uchawi wanafundisha[emoji28][emoji28] kuna dada hapa aliambiwa akitaka mtoto awai kutembea... Amdake mjusi alafu amkate mkia kabla hajafa.. Ule mkia aukaushe alafu aupondeponde kisha anuie na kumpaka mtoto kila kila siku usiku[emoji28][emoji28]
Sasa jamani uo si uchawi