Makundi ya makungwi mtandaoni yamponza dada kizazi chake sasa kimeoza

Makundi ya makungwi mtandaoni yamponza dada kizazi chake sasa kimeoza

Halafu hizi taarifa za kwenye social media juu ya tiba hususani mswala ya uzazi...ni vema watu wajifunze kutumia utashi...siyo kila bandiko lazima ujaribu...kama bikra imesepa imesepa tu...unataka kurudisha ya nini..na hii iende na kwa wanaume...haya madawa ya kuongeza maumbile na nguvu za kiume tunayonunua mitaani..ipo siku hivi vibamia vitakwanyuka....tubaki puepeee...
Brother, umeongea ukweli kabisa japo kwa hasira ila ujumbe umefika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee!! Inasikitisha sana yaani anajiharibu kutaka kumridhisha mwanadamu.

Ila kuna funzo kubwa sana kwetu KE kwamba turidhikage na namna tumeumbwa na hii inawahusu hadi wale wanaojiongeza hips, makalio, kujichubua kwamba hakuna kisicho na madhara.
 
hivi kazi ya makungwi ni nini?
hivi nchi zilizoendelea kuna makungwi kweli?
je dada yangu akitaka kuwa kungwi anatakiwa akasomee chuo gani?
hitimisho: makungwi wanapatikana kwenye maeneo ya wasiostarabika(wasio na elimu)
Makungwi ni wanawake wanaomini ngono ni ngao ya kumkomboa mwanamke. Hata sisi wanaume tujifunze, kukimbilia madawa kisa umeambiwa yanafanya hivi au vile.
 
Hahah.. Hao makungwi adi uchawi wanafundisha[emoji28][emoji28] kuna dada hapa aliambiwa akitaka mtoto awai kutembea... Amdake mjusi alafu amkate mkia kabla hajafa.. Ule mkia aukaushe alafu aupondeponde kisha anuie na kumpaka mtoto kila kila siku usiku[emoji28][emoji28]

Sasa jamani uo si uchawi
Uwii navyoogopa mjusi! Ila watu wengine hawatumii akili, asa mtoto si ana stage zake za kukua, ukifika mda wa kutembea atatembea tu mwenyewe anamuwahisha ili iweje
 
I
Aliweka asali, pipi kifua, sabuni za kuua bakteria, ndimu, maji ya ukoko, shabuu vinginevyo mategemeo yake uke uwe mdogo na amridhishe mpenzi wake. Matokeo yake amepata madhara na kizazi kimeoza.


Ina maana alikua na bwawa alafu akikutana na mwanaume anasema mwanaume ana kiba100
 
Halafu huyo ndo anategemewa afunde wanawake ndoa zao zidumu ilhali yake imemshinda pamoja na ukungwi wake. Ni kupoteza muda na kulishana upepo.
ukungwi ni mambo ya kizamani, jamii inapaswa iondokane nayo
 
Mii niwe mkweli jamani.... Huwa nachambua wanayoandika Makungwi...Huwa wanafundisha Mambo mbalimbali kuhusiana na Ndoa. Nikasema ngoja nifanyie kazi kwa upande wangu.... Niliamua kwa dhati kabisa kumpenda Mume wangu, kuwa mnyenyekevu, kupunguza kununa, kuacha u- ferminist, kujishusha kwa Mume wangu, kumhudumia kama Mume wangu.... kumpa chakula Cha ROHO kwa ubinifu na mapenzi tele, (Kupunguza Nimechoka/ Sijiusikii/ Kichwa kunauma)... Kuongeza kujipenda na usafi kwa ujumla..... Hata akinuna.... Nimejifunza nampatia muda hasira ikishuka.... Nabembeleza mtoto wa kike....kwa sauti ya kike😂😂 Nimeona mabadiliko Sana positively katika ndoa yangu. Mapenzi Kama yooooteeeee.

I'm work in progress.... Siwezi kusema nipo perfect lakini kuna mabadiliko bora sana katika mahusiano niliyonayo. Naweza kusema kipindi cha nyuma mengi niliyoandika hapa .... Kwa kweli nilikuwa naelekea kubaya. Asante Sana Makungwi wa social media/ IG.

Mapenzi kumbe mtamu bhana.... Wanawake wenzangu tuamue kubadilika kwa ajili ya furaha zetu wenyewe.

Napendwaje sasaaaa.... Dahhhh.... I feel Loved, Valued, Protected. Mapenzi kumbe matamu mno mno.....
 
Kuna dada mmoja anatangazaga vipipi kumbe ndo hivyo vya kutakatishia maji.loh.akili za kuambiwa changanya na zako
 
Mii niwe mkweli jamani.... Huwa nachambua wanayoandika Makungwi...Huwa wanafundisha Mambo mbalimbali kuhusiana na Ndoa. Nikasema ngoja nifanyie kazi kwa upande wangu.... Niliamua kwa dhati kabisa kumpenda Mume wangu, kuwa mnyenyekevu, kupunguza kununa, kuacha u- ferminist, kujishusha kwa Mume wangu, kumhudumia kama Mume wangu.... kumpa chakula Cha ROHO kwa ubinifu na mapenzi tele, (Kupunguza Nimechoka/ Sijiusikii/ Kichwa kunauma)... Kuongeza kujipenda na usafi kwa ujumla..... Hata akinuna.... Nimejifunza nampatia muda hasira ikishuka.... Nabembeleza mtoto wa kike....kwa sauti ya kike[emoji23][emoji23] Nimeona mabadiliko Sana positively katika ndoa yangu. Mapenzi Kama yooooteeeee.

I'm work in progress.... Siwezi kusema nipo perfect lakini kuna mabadiliko bora sana katika mahusiano niliyonayo. Naweza kusema kipindi cha nyuma mengi niliyoandika hapa .... Kwa kweli nilikuwa naelekea kubaya. Asante Sana Makungwi wa social media/ IG.

Mapenzi kumbe mtamu bhana.... Wanawake wenzangu tuamue kubadilika kwa furaha zetu wenyewe.
Mke bora sana wewe. Ndampata wapi kama wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom