Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,432
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu hizi taarifa za kwenye social media juu ya tiba hususani mswala ya uzazi...ni vema watu wajifunze kutumia utashi...siyo kila bandiko lazima ujaribu...kama bikra imesepa imesepa tu...unataka kurudisha ya nini..na hii iende na kwa wanaume...haya madawa ya kuongeza maumbile na nguvu za kiume tunayonunua mitaani..ipo siku hivi vibamia vitakwanyuka....tubaki puepeee...