Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,795
- 48,057
Mii niwe mkweli jamani.... Huwa nachambua wanayoandika Makungwi...Huwa wanafundisha Mambo mbalimbali kuhusiana na Ndoa. Nikasema ngoja nifanyie kazi kwa upande wangu.... Niliamua kwa dhati kabisa kumpenda Mume wangu, kuwa mnyenyekevu, kupunguza kununa, kuacha u- ferminist, kujishusha kwa Mume wangu, kumhudumia kama Mume wangu.... kumpa chakula Cha ROHO kwa ubinifu na mapenzi tele, (Kupunguza Nimechoka/ Sijiusikii/ Kichwa kunauma)... Kuongeza kujipenda na usafi kwa ujumla..... Hata akinuna.... Nimejifunza nampatia muda hasira ikishuka.... Nabembeleza mtoto wa kike....kwa sauti ya kike[emoji23][emoji23] Nimeona mabadiliko Sana positively katika ndoa yangu. Mapenzi Kama yooooteeeee.
I'm work in progress.... Siwezi kusema nipo perfect lakini kuna mabadiliko bora sana katika mahusiano niliyonayo. Naweza kusema kipindi cha nyuma mengi niliyoandika hapa .... Kwa kweli nilikuwa naelekea kubaya. Asante Sana Makungwi wa social media/ IG.
Mapenzi kumbe mtamu bhana.... Wanawake wenzangu tuamue kubadilika kwa furaha zetu wenyewe.
i wish hawa wapenzi wetu wangesoma hii comment yako
sipendi mwanamke anayenuna aise,huwa najiuliza kama relationship zinanishinda kwa sababu hiyo , je nitaweza ndoa ?
Sent from my iPhone using JamiiForums