Makundi ya makungwi mtandaoni yamponza dada kizazi chake sasa kimeoza


i wish hawa wapenzi wetu wangesoma hii comment yako
sipendi mwanamke anayenuna aise,huwa najiuliza kama relationship zinanishinda kwa sababu hiyo , je nitaweza ndoa ?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
i wish hawa wapenzi wetu wangesoma hii comment yako
sipendi mwanamke anayenuna aise,huwa najiuliza kama relationship zinanishinda kwa sababu hiyo , je nitaweza ndoa ?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Nimejifunza kabisa.... Kudhamiria kuacha kununua ovyo ovyo/kuzira. Kama nimekwazika mahali.... Tutaongea... Na sintaongea kwa makelele.... It work a lot.... Love is a beautiful thing. It starts with within/ self assessment
 
yaan wanawake wanatafuta njia za kuibana iwe ndogo huku wanaume wanatafuta njia ya kuongeza ukubwa wa maumbile yao[emoji276] anyway nampa pole huyo dada
 

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hii yote imesababishwa na viba100
 
Aiseee!! Inasikitisha sana yaani anajiharibu kutaka kumridhisha mwanadamu.

Ila kuna funzo kubwa sana kwetu KE kwamba turidhikage na namna tumeumbwa na hii inawahusu hadi wale wanaojiongeza hips, makalio, kujichubua kwamba hakuna kisicho na madhara.
Dada sikuwa na simu karibu kesho inshallah tutazungumza kwa kituo
 
Mimi nilidhani vibamia kwa wanaume ndo vinawatesa kumbe hata wanawake pia?
 
Kwamba vitu vya kufanyiwa kwenye fume chambers kule lab wao wanafanyia kwenye papuchi noma sana mkuu...Hatari sana sio kila kisemwacho watu wajaribu vingine watu waache viwapite
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…