Makundi ya vijana wa Kitanzania ambao hujihisi wameyapatia maisha

Makundi ya vijana wa Kitanzania ambao hujihisi wameyapatia maisha

Members wengi wa JF wanajiona wameyapatia maisha na kudharau platform nyingine kama FB,. NOTE; Hakuna aliyekamilika, Ishi uhalisia wa maisha yako usipende kujaji watu bila sababu za msingi,.. Nacomment kupitia iPhone X.
facebook ni ushubwada no doubt Mkuu
 
Watu wanaoenda Movie au Cinema kuangalia Movie mpya aiseee alafu ukute kaenda na manzi akee...Aisee Wale wanahisi hata Bilgate ni mbwa tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
na unakuta wanafuga mbwa wanawapa majina hayo ya kina Bilgate,rothschild etc
 
Kuna hawa jamaa ambao wamemaliza chuo alfu ndani ya mda mfupi wakapata ajira(hawajateseka sana kitaa). Hawa jamaa wanajiona wamepatia sana maisha na kudharau wale ambao bado wanapamba kusaka ajira.
 
Jana nilikua na-argue na malaya mmoja twitter, kisa ana followers elfu 25 anajiita motivational speaker, basi mimi nina followers chini ya 100 pamoja na a/c kua ina miaka zaidi ya 9 twitter, basi anajiona mkuuuubwa na mjaaanja kisa ana followers 25k na anatweet kwa iphone basi anajiona mjaaanja,unawaangalia unawaonea huruma.

Watu wa hivyo wanajiona wameyapatia sana maisha huku sisi tusio na followers wengi tukionekana hatuna kitu.

Watu wengine hovyo sana.
Inaonekana unamuonea wivu na ndio maana ukapata muda wa kuzozana naye. Unafikiri ni jambo rahisi kwa mtu mwenye shughuli zake kuanza kuzozana na malaya kisa nani ana followers wengi?
 
Hawa wanaofanya kazi benk ndio hatari kabisa... tena ukute ndo wale Ma-teller unaweza dhani anamiliki hiyo benki
Anapopitapita koridoni na badge yake ya IT au TELLER kwa madaha, hajui kuwa bosi wake upo around. Zamani mi nilidhani tellers wanalipwa mishahara mikuuubwa, nilipokuja kupata demu anafanya kazi benki nilishangaa sana.
 
Ukisoma huu uzi ndo unajua kwanini Watanzania ni wachawi wenye roho ya gubu.

Mtu anakwazika na lifestyle ya mtu ambaye hajui kama ana exist.
 
wale waliosoma shule za mapesa mengi mfano hizi za international schools. Unaweza dharauliwa hata na mtoto wa kindergarten 😃
 
Dunia ingekua sehemu nzuri sana kama kila mtu angeishi maisha yake....

Unaanzaje kuumia kwa maisha ya mwengine au unaanzaje kuhisi anavyoishi mwengine ni dharau kwako???

Maskini Tanzania yangu,
SMH.
 
Ilaumu jamii ya kimasikini inayoyastaajabia hayo mambo na kuyatukuza hadi vizazi vyao vinaendekeza huo upompompo.
 
facebook ni ushubwada no doubt Mkuu
Sipingani na Uzi huu kwani una ukweli ndani yake ila tusikariri maisha,. Inategemea umetune channel gani Chief ukitaka ushubwada hata humu JF mbona umejaa tuu Mkuu, Mbona watu tunatengeneza legal money kupitia platform kama hizo.
 
Back
Top Bottom