Makundi ya vijana wa Kitanzania ambao hujihisi wameyapatia maisha

- Wanajeshi vijana miezi yao kwanza kwenye ajira Jeshini halafu uwakute Uraiani wamevaa zile sare zao zenye mabaka mabaka.

Ongezea wengine unaowajua.

Karibuni.
Hili kundi la washamba ukiwakuta maeneo ya Kibaha (wakitokea nyumbu) wamekaa bar, Basi wanaagiza visengereti lite viingi na nyama nyiiiingi na kuaza kutafuta mtu wa kugombana nao.
Ila nauliza. Kwanini wanajeshi wengi Ni wakurya na wasukuma?
 
hili kundi ni shida. kuna mmoja juzi kati kanunua IST, akiwa kwenye mizunguko yake anaweka kofia yake ya kijeshi kwenye dashboard. mda mwingine kile kiti chake cha dereva anakivalisha shati lake kijeshi.

nikamuuliza inasaidia nini, akanijibu anapokamatwa na trafiki huwa inasaidia kutambulika haraka kwamba yeye ni mjeda. trafiki huwa wanaingiwa na uoga.

pia akanimbia huwa inasaidia kuwatia uoga madereva wa daladala, bajaj na bodaboda.
 
Waliotusua jackpot ya Sportpesa bonus aisee wanaona wameyapatia maisha wanaona kama wengine hawajui kubeti wala kufanya uchambuzi
 
- Wanaojua kuzungumza Kiingereza hata kama wanazungumza Kiingereza "broken". Wote ni mashahidi, hawa hata hapa JF wapo. Siku zote hujihisi wao ni bora na maisha wameyapatia.

- Wanaomiliki matoleo mbalimbali ya simu za iPhone. Siongezi neno kuhusu kundi hili.

- Waliochukua mkondo wa masomo ya sayansi walipokuwa sekondari na baadaye wakaenda vyuo vikuu kusomea kozi mbalimbali za uhandisi. Hawa hata ukiwakuta mtaani bila ajira, by default wanajihisi tayari wameyapatia maisha.

- Wenye followers kuanzia 20K, 30K, 40K au zaidi kwenye mtandao ya kijamii. Hili ni kundi ambalo linajihisi limeyapatia sana maisha kwa kuwa na followers wengi. Wanafollow mastaa tu. kama wewe sio star usitegemee ukurasa wako kupata followback au like kutoka kwenye kundi hili.

- Wahitimu vijana wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Siongezi neno kuhusu kundi hili.

- Vijana wa Kitanzania ambao kwa wakati fulani waliwahi kuishi Marekani au Uingereza halafu kwa sasa wamerudi Bongo kupambana na msoto wa maisha.

- Wanaomiliki gari jamii ya Vitz, IST na Altezza. Jeuri na mikwara yao barabarani inatupa picha halisi.

- Wanajeshi vijana miezi yao kwanza kwenye ajira Jeshini halafu uwakute Uraiani wamevaa zile sare zao zenye mabaka mabaka.

Ongezea wengine unaowajua.

Karibuni.
Vijana wanaokaa mbezi beach na kuachiwa macruiser ya baba.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Hili kundi la washamba ukiwakuta maeneo ya Kibaha (wakitokea nyumbu) wamekaa bar, Basi wanaagiza visengereti lite viingi na nyama nyiiiingi na kuaza kutafuta mtu wa kugombana nao.
Ila nauliza. Kwanini wanajeshi wengi Ni wakurya na wasukuma?
Hizo ndio kazi zisizohitaji wenye akili nyingi na weledi tangu enzi za Mwalimu

Inahitaji watu wa kula chakula kingi na kutumia manguvu zaidi ya akili

Akipata na msokoto wa bangi hapo ndio kabisaa...!
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
- Wanaojua kuzungumza Kiingereza hata kama wanazungumza Kiingereza "broken". Wote ni mashahidi, hawa hata hapa JF wapo. Siku zote hujihisi wao ni bora na maisha wameyapatia.

- Wanaomiliki matoleo mbalimbali ya simu za iPhone. Siongezi neno kuhusu kundi hili.

- Waliochukua mkondo wa masomo ya sayansi walipokuwa sekondari na baadaye wakaenda vyuo vikuu kusomea kozi mbalimbali za uhandisi. Hawa hata ukiwakuta mtaani bila ajira, by default wanajihisi tayari wameyapatia maisha.

- Wenye followers kuanzia 20K, 30K, 40K au zaidi kwenye mtandao ya kijamii. Hili ni kundi ambalo linajihisi limeyapatia sana maisha kwa kuwa na followers wengi. Wanafollow mastaa tu. kama wewe sio star usitegemee ukurasa wako kupata followback au like kutoka kwenye kundi hili.

- Wahitimu vijana wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Siongezi neno kuhusu kundi hili.

- Vijana wa Kitanzania ambao kwa wakati fulani waliwahi kuishi Marekani au Uingereza halafu kwa sasa wamerudi Bongo kupambana na msoto wa maisha.

- Wanaomiliki gari jamii ya Vitz, IST na Altezza. Jeuri na mikwara yao barabarani inatupa picha halisi.

- Wanajeshi vijana miezi yao kwanza kwenye ajira Jeshini halafu uwakute Uraiani wamevaa zile sare zao zenye mabaka mabaka.

Ongezea wengine unaowajua.

Karibuni.
Sheikh hapo umegonga mule mule,wenye ajira kwenye kampuni ambazo ni contractors wa Voda,Tigo,
 
Back
Top Bottom