Hili kundi la washamba ukiwakuta maeneo ya Kibaha (wakitokea nyumbu) wamekaa bar, Basi wanaagiza visengereti lite viingi na nyama nyiiiingi na kuaza kutafuta mtu wa kugombana nao.- Wanajeshi vijana miezi yao kwanza kwenye ajira Jeshini halafu uwakute Uraiani wamevaa zile sare zao zenye mabaka mabaka.
Ongezea wengine unaowajua.
Karibuni.
hili kundi ni shida. kuna mmoja juzi kati kanunua IST, akiwa kwenye mizunguko yake anaweka kofia yake ya kijeshi kwenye dashboard. mda mwingine kile kiti chake cha dereva anakivalisha shati lake kijeshi.Hili kundi la washamba ukiwakuta maeneo ya Kibaha (wakitokea nyumbu) wamekaa bar, Basi wanaagiza visengereti lite viingi na nyama nyiiiingi na kuaza kutafuta mtu wa kugombana nao.
Ila nauliza. Kwanini wanajeshi wengi Ni wakurya na wasukuma?
Vijana wanaokaa mbezi beach na kuachiwa macruiser ya baba.- Wanaojua kuzungumza Kiingereza hata kama wanazungumza Kiingereza "broken". Wote ni mashahidi, hawa hata hapa JF wapo. Siku zote hujihisi wao ni bora na maisha wameyapatia.
- Wanaomiliki matoleo mbalimbali ya simu za iPhone. Siongezi neno kuhusu kundi hili.
- Waliochukua mkondo wa masomo ya sayansi walipokuwa sekondari na baadaye wakaenda vyuo vikuu kusomea kozi mbalimbali za uhandisi. Hawa hata ukiwakuta mtaani bila ajira, by default wanajihisi tayari wameyapatia maisha.
- Wenye followers kuanzia 20K, 30K, 40K au zaidi kwenye mtandao ya kijamii. Hili ni kundi ambalo linajihisi limeyapatia sana maisha kwa kuwa na followers wengi. Wanafollow mastaa tu. kama wewe sio star usitegemee ukurasa wako kupata followback au like kutoka kwenye kundi hili.
- Wahitimu vijana wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Siongezi neno kuhusu kundi hili.
- Vijana wa Kitanzania ambao kwa wakati fulani waliwahi kuishi Marekani au Uingereza halafu kwa sasa wamerudi Bongo kupambana na msoto wa maisha.
- Wanaomiliki gari jamii ya Vitz, IST na Altezza. Jeuri na mikwara yao barabarani inatupa picha halisi.
- Wanajeshi vijana miezi yao kwanza kwenye ajira Jeshini halafu uwakute Uraiani wamevaa zile sare zao zenye mabaka mabaka.
Ongezea wengine unaowajua.
Karibuni.
π π πhalafu uwakute Uraiani wamevaa zile sare zao zenye mabaka mabaka.
Hizo ndio kazi zisizohitaji wenye akili nyingi na weledi tangu enzi za MwalimuHili kundi la washamba ukiwakuta maeneo ya Kibaha (wakitokea nyumbu) wamekaa bar, Basi wanaagiza visengereti lite viingi na nyama nyiiiingi na kuaza kutafuta mtu wa kugombana nao.
Ila nauliza. Kwanini wanajeshi wengi Ni wakurya na wasukuma?
Sheikh hapo umegonga mule mule,wenye ajira kwenye kampuni ambazo ni contractors wa Voda,Tigo,- Wanaojua kuzungumza Kiingereza hata kama wanazungumza Kiingereza "broken". Wote ni mashahidi, hawa hata hapa JF wapo. Siku zote hujihisi wao ni bora na maisha wameyapatia.