Charles Gerald
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 1,403
- 1,837
Walio na ajira hata kama analipwa laki kwa mwezi wanajiona wametusua sana na kudharau wasio na ajira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana nilikua na-argue na malaya mmoja twitter, kisa ana followers elfu 25 anajiita motivational speaker, basi mimi nina followers chini ya 100 pamoja na a/c kua ina miaka zaidi ya 9 twitter, basi anajiona mkuuuubwa na mjaaanja kisa ana followers 25k na anatweet kwa iphone basi anajiona mjaaanja,unawaangalia unawaonea huruma.
Watu wa hivyo wanajiona wameyapatia sana maisha huku sisi tusio na followers wengi tukionekana hatuna kitu.
Watu wengine hovyo sana.
Piga Kaz tafuta pesa tu kila mtu Ni tajiri kwa nafas yake na jamii inayomzunguka nyiny Ni Aina ya watu wanaokaaa vijiweni kujadiri maisha ya watu kuliko kujadili maisha yako halisi unayoish wew- Wanaojua kuzungumza Kiingereza hata kama wanazungumza Kiingereza "broken". Wote ni mashahidi, hawa hata hapa JF wapo. Siku zote hujihisi wao ni bora na maisha wameyapatia.
- Wanaomiliki matoleo mbalimbali ya simu za iPhone. Siongezi neno kuhusu kundi hili.
- Waliochukua mchepuko wa masomo ya sayansi walipokuwa sekondari na baadaye wakaenda vyuo vikuu kusomea kozi mbalimbali za uhandisi. Hawa hata ukiwakuta mtaani bila ajira, by default wanajihisi tayari wameyapatia maisha.
- Wenye followers kuanzia elfu 20, 30, 40 au zaidi kwenye mtandao wa Instagram. Hili ni kundi ambalo linajihisi limeyapatia sana maisha kwa kuwa na followers wengi. Wanafollow mastaa tu. kma wewe sio star usitegemee kama atakufollow back.
- Wahitimu vijana wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Siongezi neno kuhusu kundi hili.
- Vijana wa kitanzania ambao kwa wakati fulani waliwahi kuishi Marekani au Uingereza halafu kwa sasa wamerudi bongo kupambana na msoto wa maisha.
- Wanaomiliki gari jamii ya Vitz na IST. Jeuri na mikwara yao barabarani inatupa picha halisi.
- Wanajeshi vijana miezi yao kwanza kwenye ajira jeshini halafu uwakute uraiani wamevaa zile gwanda zao.
Ongezea wengine unaowajua.
Karibuni.
pole sana kwa masahibu hayo ndg yangu. sisi watembelea kwa miguu huwa tunadharauliwa sana na wenye magari................Mkuu bora umeanzisha huu uzi hapa.
Juzi jumamosi nikiwa natoka home na mvua hizi maji yametuama hovyo naelekea stand za huku mitaani maeneo ya Mbezi Kimara bwana mdogo mmoja yupo na gari yake Mazda model siikumbuki ila ni hizi saloon napita pembeni mwa barabara huku nazungumza na simu sina hili wala lile mara pwaa!
Mimaji michafu suruali yote mpaka raba nilizokuwa nimevaa zimebadilika rangi zimekuwa tope na nilivaa cadet ya khaki simple nyeusi na nyeupe,wala hakujali na sababu barabara ina mashimo alikuwa anaenda speed ndogo sana but alishindwa hata kushusha kioo kuniambia samahani nachokumbuka aligeuka kidharau akanitazama kisha huyoo akenda zake huku seat ya kushoto amekaa mwanamke wake ameweka miguu kwenye dushboard wala hawakujali.
Sehemu yenyewe ni karibu na CCM wanakolaza magari sasa jamaa waliokuwa wamekaa pale picha waliiona wakaniambia bwana huyu jamaa gari yake huwa inalalaga hapa yeye kapanga kwenye nyumba ile palee!nikajisemea kimoyo moyo hakika Tanzania ukiwa na gari wewe ndo tajiri yaani amepanga chumba na sebule ananimwagia mimi maji hata haonyeshi ubinaadam?any way niliacha likapita ila siyo vizuri tusidharauliane sana tunapohisi tuna mafanikio fulani wakati mwengine unaemdharau anaweza kuwa amekuacha mbali sana wanojua wakakucheka.
asante sana. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Piga Kaz tafuta pesa tu kila mtu Ni tajiri kwa nafas yake na jamii inayomzunguka nyiny Ni Aina ya watu wanaokaaa vijiweni kujadiri maisha ya watu kuliko kujadili maisha yako halisi unayoish wew
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Apa[emoji116]View attachment 1241221
Soon Twitter inakua kama Instagram na facebook. Zamani twitter ilikua inachukuliwa kama platform ya elites kujadili mambo ya kitaifa na mambo magumu, leo kule twitter ni umalaya, ukahaba, ushoga, ujinga. Watu wanajadili mambo ya hovyo.Hilo la followers wa twitter linatesa wengi sana,
Acc yangu ya twitter ina miaka kama nane sasa na nina-followers kama 50 and I don’t give a dammm
Sio faida ya kuwa na followers kibao halafu hata chenji hainipi.
Kama nafanya biashara sawa otherwise ni upuuzi tu.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Soo Twitter inakua kama Instagram na facebook. Zamani twitter ilikua inachukuliwa kama platform ya elites kujadili mambo ya kitaifa na mambo magumu, leo kule twitter ni umalaya, ukahaba, ushoga, ujinga. Watu wanajadili mambo ya hovyo.
Nadhani platform pekee iliyobaki ya kuchangia mambo ya maana ni JF kwa sababu imetutengea majukwaa, kila mtu anachangia jukwa ambalo akili yake inaweza kujadili.
Huyu atakuwa OntarioKuna wale wengine wanaocheza forex wanajiona washakua mabilionea
Hahahaha kuna dogo mmja anajiita billionaire na huwezi mshauri chochote... Ana notes nyingiiiiKuna wale wengine wanaocheza forex wanajiona washakua mabilionea