Makundi ya vijana wa Kitanzania ambao hujihisi wameyapatia maisha

Makundi ya vijana wa Kitanzania ambao hujihisi wameyapatia maisha

...............Mkuu bora umeanzisha huu uzi hapa.

Juzi jumamosi nikiwa natoka home na mvua hizi maji yametuama hovyo naelekea stand za huku mitaani maeneo ya Mbezi Kimara bwana mdogo mmoja yupo na gari yake Mazda model siikumbuki ila ni hizi saloon napita pembeni mwa barabara huku nazungumza na simu sina hili wala lile mara pwaa!

Mimaji michafu suruali yote mpaka raba nilizokuwa nimevaa zimebadilika rangi zimekuwa tope na nilivaa cadet ya khaki simple nyeusi na nyeupe,wala hakujali na sababu barabara ina mashimo alikuwa anaenda speed ndogo sana but alishindwa hata kushusha kioo kuniambia samahani nachokumbuka aligeuka kidharau akanitazama kisha huyoo akenda zake huku seat ya kushoto amekaa mwanamke wake ameweka miguu kwenye dushboard wala hawakujali.

Sehemu yenyewe ni karibu na CCM wanakolaza magari sasa jamaa waliokuwa wamekaa pale picha waliiona wakaniambia bwana huyu jamaa gari yake huwa inalalaga hapa yeye kapanga kwenye nyumba ile palee!nikajisemea kimoyo moyo hakika Tanzania ukiwa na gari wewe ndo tajiri yaani amepanga chumba na sebule ananimwagia mimi maji hata haonyeshi ubinaadam?any way niliacha likapita ila siyo vizuri tusidharauliane sana tunapohisi tuna mafanikio fulani wakati mwengine unaemdharau anaweza kuwa amekuacha mbali sana wanojua wakakucheka.
Kwaio hukushughulika nae kabisa?
 
huyo ni limbukeni
Mkuu kila mtu Ni tajiri kwa nafasi yake hata wewe unaweza ukasema umetoa elfu hamsin kwa watu kumi wagawane ukaonekana limbukeni kwahyo msichukulie mtu n limbukeni ili hari na wewe Kuna mahali unaonekana limbukeni kwa wale waliokuzid

Jawabu la msingi usifuate ya watu Bali jali ya kwako na moyo wako na jione tajiri hata mbele ya tajiri

Sifa kuu jibrand wew wenyewe upate nafas uonekane kuliko kumsema mtu ili hata kiwanja huna
 
hahahaha. hao sikuwahi kuwasikia. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

hivi wale wanaojifanya kuzungumza na simu night club wakati kuna kelele nzito za mziki, tuwaweke kwenye kundi gani?. mimi naona kama huwa wanatuektia. [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah nimecheka sana
 
Kwaio hukushughulika nae kabisa?
Wala....mistakes zipo mkuu mimi nilichukulia kibinaadam na ni mtaani ninapoishi sikutaka nifanane nae akili wote tuonekane mazombie nilimsikilizia labda atajishusha but sivyo nilivyotegemea.yupo tu jirani na kwangu so ipo siku atanipa heshima yangu sina haraka nae.
 
Back
Top Bottom