Makundi ya vijana wa Kitanzania ambao hujihisi wameyapatia maisha

Kwaio hukushughulika nae kabisa?
 
huyo ni limbukeni
Mkuu kila mtu Ni tajiri kwa nafasi yake hata wewe unaweza ukasema umetoa elfu hamsin kwa watu kumi wagawane ukaonekana limbukeni kwahyo msichukulie mtu n limbukeni ili hari na wewe Kuna mahali unaonekana limbukeni kwa wale waliokuzid

Jawabu la msingi usifuate ya watu Bali jali ya kwako na moyo wako na jione tajiri hata mbele ya tajiri

Sifa kuu jibrand wew wenyewe upate nafas uonekane kuliko kumsema mtu ili hata kiwanja huna
 
hahahaha. hao sikuwahi kuwasikia. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

hivi wale wanaojifanya kuzungumza na simu night club wakati kuna kelele nzito za mziki, tuwaweke kwenye kundi gani?. mimi naona kama huwa wanatuektia. [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah nimecheka sana
 
Kwaio hukushughulika nae kabisa?
Wala....mistakes zipo mkuu mimi nilichukulia kibinaadam na ni mtaani ninapoishi sikutaka nifanane nae akili wote tuonekane mazombie nilimsikilizia labda atajishusha but sivyo nilivyotegemea.yupo tu jirani na kwangu so ipo siku atanipa heshima yangu sina haraka nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…