Makundi ya vijana wa Kitanzania ambao hujihisi wameyapatia maisha

Yes JW wanatumia neno "RAIA" kama kejeli.
Hapa sasa hivi katoka kulitumiaπŸ˜‚πŸ˜‚ Anamwambia mama Ile sio kambi ile Combania we utajuaje wakati wewe "Raia" πŸ˜‚mama anamjulia nae kamjibu iwe kombania au komba ngurue mtajijua wenyewe
 
Kuna hawa Majamaa wanaojiunga kwa Mara ya kwanza na network Marketing especially ALLIANCE GLOBAL IN MOTION asee..

Lakini baada ya Mwezi miezi miwili hivi anaona bora hiyo 500k angetembeza dagaa Buza
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna demu alikua ananifuatafuata mara kwa mara nijiunge sijui na hii kitu ,mimi nikawa namsikiliza tu na maneno yake huku moyoni najisemea kua "mwenzako nazijua mpaka ofisi za boss wenu pale mikocheni kwa warioba"
Hadi flp nimepanda sana pale Victoria ofisini kwao,hamna mpya.
 
huo mda uliotumia kusoma bandiko langu, ku-digest nilichoandika na baadae ukaamua uandike cha kupost, ungeutumia kufanya kitu kingine.

asante na karibu tena.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapa sasa hivi katoka kulitumia[emoji23][emoji23] Anamwambia mama Ile sio kambi ile Combania we utajuaje wakati wewe "Raia" [emoji23]mama anamjulia nae kamjibu iwe kombania au komba ngurue mtajijua wenyewe
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hizi ni hisia zenu tu,ndio maana ikitokea bahati mbaya unaendesha gari ukakanyaga nyanya zilizopangwa barabarani shughuli yake ujipange,huwa mnaona kila anaeendesha gari ni tajiri,pia huo utajiri kaupata kwa kukudhulum wewe mwenda kwa miguu,hizo ndio mambo za kiwaki pambana na hali yako na wewe umiliki yako
pole sana kwa masahibu hayo ndg yangu. sisi watembelea kwa miguu huwa tunadharauliwa sana na wenye magari.
 
basi sawa ndg.
 
Hujakutana na dereva bajaji aliemaliza mkataba, huwa wanajikuta wanaimiliki dunia
 
Kwani mtu aliyeyapatia maisha anatakiwa awe na nini au awe amefikia level ipi? maisha hayana formula,kuyapatia maisha ni kutimiza malengo uliyojiwekea na katika maisha kila mtu ana malengo yake.
 
Members wengi wa JF wanajiona wameyapatia maisha na kudharau platform nyingine kama FB,. NOTE; Hakuna aliyekamilika, Ishi uhalisia wa maisha yako usipende kujaji watu bila sababu za msingi,.. Nacomment kupitia iPhone X.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…