Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishakuwa masikini utaanza kumhukumu kila.mtu na 'lifestyle' yake.
Just mind your own business and work harder to get rid of poverty in your family.
Ukisoma huu uzi ndo unajua kwanini Watanzania ni wachawi wenye roho ya gubu.
Mtu anakwazika na lifestyle ya mtu ambaye hajui kama ana exist.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Mambo mengine inawezekana ni kweli, ila mengine inakuwa inferiority complex ya wewe unayemtazama na ukiwaza huna au hujafikia mafanikio yake, japo wapo wanaoringa kwa mafanikio yao.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Anapopitapita koridoni na badge yake ya IT au TELLER kwa madaha, hajui kuwa bosi wake upo around. Zamani mi nilidhani tellers wanalipwa mishahara mikuuubwa, nilipokuja kupata demu anafanya kazi benki nilishangaa sana.
Tatizo jamaa anajiona ameyapatia maisha afu wengine wote tulio-comment kwny uzi huu anatuona wakuda tu.nilidhani kwa kuwa niliyoandika kwenye mada kuu ya uzi huu hayakupendezi,
ungepita tu kimyakimya bila kusema chochote.
lakini kitendo cha kusoma nilichoandika, ukajipa sekunde kadhaa kutafakari, halafu uka-comment mara ya kwanza, ukarudi tena ku-comment mara ya pili kilekile ulicho comment mara ya kwanza, inaonyesha ni namna gani umevutiwa na mada yangu.
pia ni ashara kwamba nilichoandika kina reflect maisha halisi ya sisi watanzania regardless of our social, economic differences.
karibu tena ndg.
well said Mkuu,kwa biashara mitandao yote ina umuhimu ata katikati ya wajinga kuna mjanja waoSipingani na Uzi huu kwani una ukweli ndani yake ila tusikariri maisha,. Inategemea umetune channel gani Chief ukitaka ushubwada hata humu JF mbona umejaa tuu Mkuu, Mbona watu tunatengeneza legal money kupitia platform kama hizo.
huyo jamaa nimemuweka kwenye kundi la baadhi ya wakongwe wa jf.Tatizo jamaa anajiona ameyapatia maisha afu wengine wote tulio-comment kwny uzi huu anatuona wakuda tu.
👊👊 sawa kabisa Chief.well said Mkuu,kwa biashara mitandao yote ina umuhimu ata katikati ya wajinga kuna mjanja wao
huyo jamaa nimemuweka kwenye kundi la baadhi ya wakongwe wa jf.
wanapoona ID ambayo sio maarufu imeanzisha mada inayopata wachangiaji wengi na LIKES za kutosha, nafsi zao huwa zinaumia sana. [emoji16][emoji16][emoji16]
basi sawa ndg.Mtoa mada ana inferiority complex, Unataka wakufanyie nini pindi unapokutana na hayo makundi uliyoainisha ili urizike? Mtu akivaa kaptula na tshert yake na maji yake wewe unataka akwambie neno gani ili usijue amekuringia?
Huu msemo eti anaona amepata maisha husemwa na watu wavivu wasiopenda kutoka pale walipo kwenda hatua nyingine na ukifuatilia unaweza kuta anayesema ni jobless.
Jitume fanya kazi yeyote ongeza mtaji na fungua biashara kubwa ipo siku na wewe utanunua vitu mlimani city, na unaanza kusema umeyapata maisha, Watu waliofanikiwa hawanaga muda mwingi wa kusalimiana kila sehemu unapokutana nao kwa sababu wanabanwa na ratiba, biashara au kazi zitalala.
Hata simu kupokea huwa jioni tu maana kutwa nzima ni kazi ninyi wavivu mnasema wanaringa ambapo mnapenda kuchart tu bila kujali muda.
Wamiliki wa iPhone bana. Wanagoogle signs and symptoms na kuanza kubishana na daktari kwa sababu kaona mezani unatumia tecno.Unapigwa bonge la mcharazo nenda kapime choo.
TehMtoa mada ana inferiority complex, Unataka wakufanyie nini pindi unapokutana na hayo makundi uliyoainisha ili urizike? Mtu akivaa kaptula na tshert yake na maji yake wewe unataka akwambie neno gani ili usijue amekuringia?
Huu msemo eti anaona amepata maisha husemwa na watu wavivu wasiopenda kutoka pale walipo kwenda hatua nyingine na ukifuatilia unaweza kuta anayesema ni jobless.
Jitume fanya kazi yeyote ongeza mtaji na fungua biashara kubwa ipo siku na wewe utanunua vitu mlimani city, na unaanza kusema umeyapata maisha, Watu waliofanikiwa hawanaga muda mwingi wa kusalimiana kila sehemu unapokutana nao kwa sababu wanabanwa na ratiba, biashara au kazi zitalala.
Hata simu kupokea huwa jioni tu maana kutwa nzima ni kazi ninyi wavivu mnasema wanaringa ambapo mnapenda kuchart tu bila kujali muda.