OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Huyu anafaa apate kazi CIA au mossadWell akili yake ndivyo ilivyomtuma. Na amefanikiwa kwakua ona jinsi watu wachache wanaoukumbuka huo uzi.
Katika psychology huyu anaitwa 'sociopath' yuko radhi kudanganya hata uongo wa kimiyeyusho ili mradi lengo litimie.
Yaani mtu akiwa na milions asifanye biashara kisa hajaanzia 170kl, binafsi nina target ya kifaa kinacho_cost 5.6mil ili niweke biashara, so nitapataje kifaa cha 50kl ili nianzie chini wakati hamna kitu kama hicho!.Number 5 nimekupinga,Maana inapingana na policy ya biashara,lazima uzingatie capital na research,Bila hvyo ndo yaleee ya number 1-4 yanapokuja
Asante kwa kushukuru Boss na nyie wahairisha mambo nyie endeleeni tuAsante.vipi sisi wazee wa kuahirisha mambo? Kesho unatakiwa kwenda kuanza mambo, unaingiza kasababu siku inaisha. Sisi unatuzungumziaje mkuu?
SureInategemea tu! Nikupe ushuhuda japo hunioni..mie ni mmojawapo ambaye nilikua hata sijapanga maisha yangu mbeleni yatakuaje sikujua habar za kujiajiri kabisa..nilikua najiombea nafasi za kujitolea tu..ikafika siku nikalazimishwa kwenda kufanya interview nikashangaa nimefauli ile interview na ndo ilikua ya kwanza maishani mwangu na nikapata kazi..unajua nini? Baada ya miaka minne ya kuajiriwa nikasema nimechoka na naondoka nikajiuzie juice za ukwaju nyumban mie siwez umaarufu bila hela..sasahiv nimeajiri..ilikuaje bila mipango ya muda mrefu? Tupo sisi wenye bahat na wapo wenye juhudi..maisha hayana fomula..kila mtu ana namna yake
Duh mbona balaa Zito hili.Kuna binti alianzisha uzi.
Alianza kwa kumuomba ushauri wa kibiashara mshkaji.
Baadaye wakawa na uhusiano wakaamua kuchanga pesa ili waanzishe biashara.
Mchizi akamuambia mdada ana shida akopeshwe pesa akakopeshwa 400K baada ya kudaiwa akavunja uhusiano na majibu shit ya kumwaga.
Mwisho akamtishia binti kwamba atamfanyia kitu kibaya yeye ana roho mbaya.
So this is just a confused con artist at work.
Labda anatafuta pesa aje kujibu kwa vitendoHajaja kujibu Chochote hadi Sasa, basi kuna ukweli ndani yake, jamani utapeli wa hela ya mtu ni mbaya sana
Alipe pesa za watu, anafundisha watu njia za kapata pesa wakati yeye hana chochote hadi anaenda kutapeliLabda anatafuta pesa aje kujibu kwa vitendo
Una karoho flan kachafu chafu hv ka kike kike yan...watch out babWell akili yake ndivyo ilivyomtuma. Na amefanikiwa kwakua ona jinsi watu wachache wanaoukumbuka huo uzi.
Katika psychology huyu anaitwa 'sociopath' yuko radhi kudanganya hata uongo wa kimiyeyusho ili mradi lengo litimie.
Ww deal na content Hii kazi waachie mabinti mzee,unatuabisha sana yaani hujui tu...afu una kaushamba flan hv,kwan ww ndo huyo dada?Well akili yake ndivyo ilivyomtuma. Na amefanikiwa kwakua ona jinsi watu wachache wanaoukumbuka huo uzi.
Katika psychology huyu anaitwa 'sociopath' yuko radhi kudanganya hata uongo wa kimiyeyusho ili mradi lengo litimie.
Asante kwa kushukuru Boss na nyie wahairisha mambo nyie endeleeni tu
maana mnajua fika madhara ya hiyo tabia ila mnakaza vichwa ndio mana sijawaongelea
Hao nilio waongelea ni wasiojua kuwa wanakosea,kuna kukosea kwa kujua na kukosea kwa kutokujua.
Kala ban kivp tena? inamaana machungu ya kutapelewa usiyalete hapa?Mdada alipost screenshots za vitisho kutoka kwa mshkaji.
Maajabu yake mdada akala ban.
Lipa pesa nigga hizi labeling hazitakusaidiaUna karoho flan kachafu chafu hv ka kike kike yan...watch out bab
As I said. Lipa pesaWw deal na content Hii kazi waachie mabinti mzee,unatuabisha sana yaani hujui tu...afu una kaushamba flan hv,kwan ww ndo huyo dada?
Mwanzo mgumu mkuu,expect lolote na chochote ilaMwamba kama mwamba....nipo katika harakat ya kuongeza goli lingne la biashara mpya though..sjawai ifanya ila nataka nijarib...duka la vyakula muhimu tuu na vinnywaji
Location nzur
Jijana wa golin anakuja week ijayo kutoma kijijin...etc etc
Ni expect nn from this biashara mkuu