Makundi ya watu ambao wakifungua biashara lazima zife, fahamu kundi lako na Ubadilike

Makundi ya watu ambao wakifungua biashara lazima zife, fahamu kundi lako na Ubadilike

Well akili yake ndivyo ilivyomtuma. Na amefanikiwa kwakua ona jinsi watu wachache wanaoukumbuka huo uzi.

Katika psychology huyu anaitwa 'sociopath' yuko radhi kudanganya hata uongo wa kimiyeyusho ili mradi lengo litimie.
Huyu anafaa apate kazi CIA au mossad
 
Number 5 nimekupinga,Maana inapingana na policy ya biashara,lazima uzingatie capital na research,Bila hvyo ndo yaleee ya number 1-4 yanapokuja
Yaani mtu akiwa na milions asifanye biashara kisa hajaanzia 170kl, binafsi nina target ya kifaa kinacho_cost 5.6mil ili niweke biashara, so nitapataje kifaa cha 50kl ili nianzie chini wakati hamna kitu kama hicho!.
 
Asante.vipi sisi wazee wa kuahirisha mambo? Kesho unatakiwa kwenda kuanza mambo, unaingiza kasababu siku inaisha. Sisi unatuzungumziaje mkuu?
Asante kwa kushukuru Boss na nyie wahairisha mambo nyie endeleeni tu

maana mnajua fika madhara ya hiyo tabia ila mnakaza vichwa ndio mana sijawaongelea

Hao nilio waongelea ni wasiojua kuwa wanakosea,kuna kukosea kwa kujua na kukosea kwa kutokujua.
 
Inategemea tu! Nikupe ushuhuda japo hunioni..mie ni mmojawapo ambaye nilikua hata sijapanga maisha yangu mbeleni yatakuaje sikujua habar za kujiajiri kabisa..nilikua najiombea nafasi za kujitolea tu..ikafika siku nikalazimishwa kwenda kufanya interview nikashangaa nimefauli ile interview na ndo ilikua ya kwanza maishani mwangu na nikapata kazi..unajua nini? Baada ya miaka minne ya kuajiriwa nikasema nimechoka na naondoka nikajiuzie juice za ukwaju nyumban mie siwez umaarufu bila hela..sasahiv nimeajiri..ilikuaje bila mipango ya muda mrefu? Tupo sisi wenye bahat na wapo wenye juhudi..maisha hayana fomula..kila mtu ana namna yake
Sure
 
Kuna binti alianzisha uzi.

Alianza kwa kumuomba ushauri wa kibiashara mshkaji.

Baadaye wakawa na uhusiano wakaamua kuchanga pesa ili waanzishe biashara.

Mchizi akamuambia mdada ana shida akopeshwe pesa akakopeshwa 400K baada ya kudaiwa akavunja uhusiano na majibu shit ya kumwaga.

Mwisho akamtishia binti kwamba atamfanyia kitu kibaya yeye ana roho mbaya.

So this is just a confused con artist at work.
Duh mbona balaa Zito hili.
Yan ndo maana humu simuamini mtu kabisa
 
Kiukweli tunataka tuwe tunapata madini kama haya. Kiukweli kwa mtu aliyewahi kufanya na anayefanya biashara anakubaliana na nondo hizi. Sasa kwa wenye ndoto za kuanza biashara shule hiyo hapo. Mleta uzi Mungu na akuongezee siku.
 
Well akili yake ndivyo ilivyomtuma. Na amefanikiwa kwakua ona jinsi watu wachache wanaoukumbuka huo uzi.

Katika psychology huyu anaitwa 'sociopath' yuko radhi kudanganya hata uongo wa kimiyeyusho ili mradi lengo litimie.
Ww deal na content Hii kazi waachie mabinti mzee,unatuabisha sana yaani hujui tu...afu una kaushamba flan hv,kwan ww ndo huyo dada?
 
Asante kwa kushukuru Boss na nyie wahairisha mambo nyie endeleeni tu

maana mnajua fika madhara ya hiyo tabia ila mnakaza vichwa ndio mana sijawaongelea

Hao nilio waongelea ni wasiojua kuwa wanakosea,kuna kukosea kwa kujua na kukosea kwa kutokujua.

😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Mwamba kama mwamba....nipo katika harakat ya kuongeza goli lingne la biashara mpya though..sjawai ifanya ila nataka nijarib...duka la vyakula muhimu tuu na vinnywaji

Location nzur
Jijana wa golin anakuja week ijayo kutoma kijijin...etc etc

Ni expect nn from this biashara mkuu
Mwanzo mgumu mkuu,expect lolote na chochote ila

iwe iwavyo Usikate Tamaa wala usirudi nyuma,mbele kwa mbele..
 
Back
Top Bottom