Inategemea tu! Nikupe ushuhuda japo hunioni..mie ni mmojawapo ambaye nilikua hata sijapanga maisha yangu mbeleni yatakuaje sikujua habar za kujiajiri kabisa..nilikua najiombea nafasi za kujitolea tu..ikafika siku nikalazimishwa kwenda kufanya interview nikashangaa nimefauli ile interview na ndo ilikua ya kwanza maishani mwangu na nikapata kazi..unajua nini? Baada ya miaka minne ya kuajiriwa nikasema nimechoka na naondoka nikajiuzie juice za ukwaju nyumban mie siwez umaarufu bila hela..sasahiv nimeajiri..ilikuaje bila mipango ya muda mrefu? Tupo sisi wenye bahat na wapo wenye juhudi..maisha hayana fomula..kila mtu ana namna yake