KERO Makurunge Sekondari, Wanafunzi wa kidato cha Pili na Nne wanalazimishwa kukaa Bweni

KERO Makurunge Sekondari, Wanafunzi wa kidato cha Pili na Nne wanalazimishwa kukaa Bweni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Ni mmoja wa wazazi wa mtoto anae soma shule ya Sekondari Makurunge iliyopo mkoa wa Pwani, wilaya ya kisarawe kata ya Kiluvya.

Walimu wa shule hii ya Sekondari wameanzisha mradi binafsi wa kujenga hostel za kukaa wanafunzi hivyo wamekua wakilazimisha wanafunzi hasa wa kidato Cha pili na nne wakae hostel Kwa kigezo Cha watakua wanawafundisha usiku.

Jambo ambalo ni uongo na wakati wa usiku wanafunzi wamekua hawana usimamizi kazi ni kuzurula nje ya madarasa na vichakani wakitongozwa na kutongozana.

Na kibaya zaidi hata wanafunzi wanaoishi jilani na shule wanalazimishwa wakae hostel huku gharama ya mwanafunzi mmoja Kwa mwezi ni takribani 80,000 ambayo wazazi wengi hatuwezi kumudi pia huu ni mradi wa walimu.
 
Kjn acha watu wagawane hii nchi, keki ya Taifa msiwakabie nayo kooni walimu
 
Back
Top Bottom