Malaika anayetajwa katika Ufunuo wa Yohana 9:11, ni nani haswa? Je kupatwa kwa jua Aprili 2024 kunahusiana na malaika huyu?

Sawa, wewe kiburi cha uzima ndicho kinachokusumbua.Ila nikuambie hivii,ni afadhali kuamini Mungu yupo halafu usimkute,hupotezi chochote,kuliko kuamini hayupo halafu umkute,itakuwa kilio na kusaga meno.
Imani= vitisho + ahadi umeshathibitisha mwenyewe hakuna Mungu.
 
Sawa, wewe kiburi cha uzima ndicho kinachokusumbua.Ila nikuambie hivii,ni afadhali kuamini Mungu yupo halafu usimkute,hupotezi chochote,kuliko kuamini hayupo halafu umkute,itakuwa kilio na kusaga meno.
Hakuna Mungu na wala sita kaa niamni huo ujinga bila uthibitisho, kuhusu kulia na kusaga meno, sio kila mtu anatishiwa kirahisi mkuu , tunaishi kwa upendo kama binadamu tu ila katika hili jambo la kujidanya kuna Mungu haunipati humo kamwe.
 
Hakuna Mungu na wala sita kaa niamni huo ujinga bila uthibitisho, kuhusu kulia na kusaga meno, sio kila mtu anatishiwa kirahisi mkuu , tunaishi kwa upendo kama binadamu tu ila katika hili jambo la kujidanya kuna Mungu haunipati humo kamwe.
Huwezi kuwa na upendo wa kweli bila Mungu,ni kujidanganya.Anyway tuachane,ila ipo siku utapiga magoti mbele zake huyo huyo unayekataa kuwa yupo,na kukiri kwamba yeye ndiye Mungu.
Wafilipi 2:9-11
9 Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina;
10 ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi;
11 na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.
 
Huwezi Kuna na upendo was kweli bila Mungu,ni kujidanganya.Anyway tuachane,ila ipo siku utapiga magoti mbele zake huyo huyo unayekataa kuwa hayupo,na kulitii kwamba yeye ndiye Mungu.
"Hauwezi kuwa na upendo bila Mungu , jidanganye, Huyo Mungu mwenyewe unaemtaja kwa mujibu wa biblia ukisoma hana ata chembe ya huo upendo mimi ninao uzungumzia.
 
The verse in question says "they had a king". After Mohammed died near the close of the 13th century, the Mohammedans were divided into various factions under several leaders. Near the close of the thirteenth century, Othman founded a government which has since been known as the Ottoman government, or empire. The "king" is called the "angel of the bottomless pit". An angel signifies a messenger, or minister, either good or bad. The "bottomless pit" is a place of darkness and destruction.

John here gives the Hebrew and Greek name of this "king". Hebrew is "Abaddon" meaning "the destroyer"; and Greek is "Apollyon", which means "one that exterminates, or destroys:. John wanted the Hebrew and Greek readers to understand who this person was. So, the name "Apollyon" was representing the leader of the Ottoman Empire during the "five months" when they were to hurt their enemy, the Greeks. Note: the five months were prophetic, (five months with 30 days each would be 150 days; and a day for a year, that would be 150 years). So for one hundred and fifty years, the Turks ((Ottoman Empire) "destroyed" the Greeks.

So, Apollyon was a name to represent the leader of the Turks during that 150 year battle.

I hope that helps. God bless you.
 
Kinachofurahisha ni hawa wayahudi wa Mbagala,Mbande na Tukuyu wanavyojifanya wanaelewa Sana bibilia kuliko wayahudi wenyewe
🤣🤣 Kichaa cha Mbwa ni kama cha panya buku anakwambia Mbishi 🎶
 
"Hauwezi kuwa na upendo bila Mungu , jidanganye, Huyo Mungu mwenyewe unaemtaja kwa mujibu wa biblia ukisoma hana ata chembe ya huo upendo mimi ninao uzungumzia.
Wewe usidanganye watu,even your avatar shows who you are:Anti God,kwa hiyo unayo ongea ni ya baba yako.But you still have time,turn back from your evil ways and accept Jesus Christ as your personal saviour so that you can be assured of eternal life.
 
Kimsingi mimi ukishatumia scriptures kama mtetezi wa hoja yako siwezi elewana na wewe sababu hizo sasa ni imani sawa kabisa na hisia/mapenzi binafs.
Hii ni mada nzuri na itatupa elimu na maarifa mapya. Mada ipo wazi bro, jamaa kaleta maandiko ya Biblia ili tuyajadili na wapo wanaojadii na kaweka wazi kuwa tunaweza tumia source nyingine nje ya Biblia kujengea hoja kwa lengo la kufundishana na kupeana maarifa mapya sio kukashfiana wala kulumbana. Kama una source nyingine katika jiendeleza mjadala karibu.
 
Nilikuwa nashauri, kuliko kukashfiana na kuandikiana maneno makali mkuu, kwa unyenyekevu na utaratibu tupe ujualo ili tujifunze mkuu wangu. Samahani kwa hilo kiongozi. Wengine tupo tayari kupata maarifa mapya leo katila hili.
 
Hizo hadithi za malaika kwenye biblia zinawahusu waebrania sisi wamatumbi tunajipendekeza tu.
Bro nilikuwa naombi kwako. Mada hii ni nzuri sana kwetu wengine, please kama wewe haikufai kuliko kuiharibu kwa kashfa na dhihaka. Tuachie wengine tujifunze mkuu wangu. Samahani kwa hilo.
 
Malaika waasi kuwa na pembe sidhani kama ni kweli ila nachojua, waliondolewa utukufu(Mwanga/Nuru) ya kimungu na wapo tofauti na malaika wa Kimungu. Mara nyingi, malaika wa Kimungu huonekana wakiwa na mavazi meupe yanayong'ara na kumeta meta (Kitani safi) ila hawa wa giza huwa wana mavazi meusi.

Kuhusu Unabii uliokiwa unaonesha ujio wa dini ya kiislam, nami nakubaliana nawe.
 
Wale wanne wa mto fiati ni masensri tu, yani wajuba, wachenetaji watauwa watu karibu 2 ya dunia, huyo apoloni ni nzige lord, Pia kuna malaika waasi waalio na nguvu kuliko shetani mmoja wapo ni huyo mwamba
Hujaeleweka hapa bro. Kweli kuna malaika waasi wenye nguvu kuliko Lucifer aliyekuwa Kwaya Master tu. Wapo akina Azael wenye nguvu zaidi yake.
 
Abadon it doesnt Means The destroyer in Hebrew Sir! So do Apollyon?
Usipotoshe!

Ngoja nikupe Hints Kidogo..

Nuhu Alikaa kwenye safina siku 150 Miezi mitano!

Malaika anayetajwa kwenye Ufunuo hiyo ni Fallen angel ni malaika wa Tano!
And that 150 kwenye hiyo ufunuo its 5..
So dig it well with No 5...
 
Hujaeleweka hapa bro. Kweli kuna malaika waasi wenye nguvu kuliko Lucifer aliyekuwa Kwaya Master tu. Wapo akina Azael wenye nguvu zaidi yake.
Azael its not a fallen angel..
Maana bado ni malaika..
Maybe unazungumzia kuhusu Azazel Ambaye ni fallen angel..
But na yeye yuko less ukimlinganisha na Samael (Mnayemuita Lucifer)
 
Abadon, Appolion, Allah yote ni majina yake
Vita itainuka ila hakuna Mungu asiye na jina. Mungu wa Ekron walimuita Belzeebul. mungu wa wamoabi aliitwa Kemoshi, mungu wa mke wa sidoni aliitwa ashtorethi na mungu wa waamoni aliitwa moleki.

Wamisri walikuwa na miungu 10 yenye majini. Wababel walikuwa na miungu yenye majina. Wahindi wana miungu yao ina majina. Waebrania walikuwa na YAHWH ila wakureshi mungu wao hana jina na jina lake ni mungu. Kwanini jina hilo limefichwa? Hapo ndipo nakubaliana na wewe kuwa Apolion na abadon ndio huyo mungu wa "kikuresh"
 
Azael its not a fallen angel..
Maana bado ni malaika..
Maybe unazungumzia kuhusu Azazel Ambaye ni fallen angel..
But na yeye yuko less ukimlinganisha na Samael (Mnayemuita Lucifer)
Ni kweli, nilikuwa namaanisha Azazel ila napinga Samael kuwa ndio Lucifer. Lucifer ni mwingine na Samael ni mwingine.

Nimesoma vitabu vingi vikiwemo vya "Demonology" Azazel ni More Powerfull kuliko "Lucifer" japo katika ranks za utawala Lucifer ndio Bwana Mkubwa wao (King na hao wengine ni maprince tu akiwemo Beelzebul)
 
Sjui mnaongelea nn ila hakuna eclipse ya siku nzima na haitatokea
 
Hii "wanadamu wasio na nembo ya Mungu nyusoni mwao watateswa" inamaanisha ni wale wasio nyakuliwa. Maana katika Ufunuo 7:1-17 inaelezea kuhusu unyakuo so hao wanaobaki ndio watakumbana na Abadon na Appolion.

Wanadamu wa sasa watakubishia ila Mungu alishawahi "nifunulia na kunionesha kuzimu". Lile shimo ni refu, lina giza na kweli halina mwisho na ni kweli kuna moto na mateso. Tujisahu na kujifariji na kujidanganya ila kama humuamink mwana wa mmiliki, yajayo hayafurahishi na kesho yako ni mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…