GOLD BOY
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 387
- 490
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni USA huko baadhi ya maeneo kama new york na michinganiNinge omba kujua ni wneo gani tukio Hilo lita tokea mkuu tafadhari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni USA huko baadhi ya maeneo kama new york na michinganiNinge omba kujua ni wneo gani tukio Hilo lita tokea mkuu tafadhari
Imani= vitisho + ahadi umeshathibitisha mwenyewe hakuna Mungu.Sawa, wewe kiburi cha uzima ndicho kinachokusumbua.Ila nikuambie hivii,ni afadhali kuamini Mungu yupo halafu usimkute,hupotezi chochote,kuliko kuamini hayupo halafu umkute,itakuwa kilio na kusaga meno.
Hakuna Mungu na wala sita kaa niamni huo ujinga bila uthibitisho, kuhusu kulia na kusaga meno, sio kila mtu anatishiwa kirahisi mkuu , tunaishi kwa upendo kama binadamu tu ila katika hili jambo la kujidanya kuna Mungu haunipati humo kamwe.Sawa, wewe kiburi cha uzima ndicho kinachokusumbua.Ila nikuambie hivii,ni afadhali kuamini Mungu yupo halafu usimkute,hupotezi chochote,kuliko kuamini hayupo halafu umkute,itakuwa kilio na kusaga meno.
Huwezi kuwa na upendo wa kweli bila Mungu,ni kujidanganya.Anyway tuachane,ila ipo siku utapiga magoti mbele zake huyo huyo unayekataa kuwa yupo,na kukiri kwamba yeye ndiye Mungu.Hakuna Mungu na wala sita kaa niamni huo ujinga bila uthibitisho, kuhusu kulia na kusaga meno, sio kila mtu anatishiwa kirahisi mkuu , tunaishi kwa upendo kama binadamu tu ila katika hili jambo la kujidanya kuna Mungu haunipati humo kamwe.
"Hauwezi kuwa na upendo bila Mungu , jidanganye, Huyo Mungu mwenyewe unaemtaja kwa mujibu wa biblia ukisoma hana ata chembe ya huo upendo mimi ninao uzungumzia.Huwezi Kuna na upendo was kweli bila Mungu,ni kujidanganya.Anyway tuachane,ila ipo siku utapiga magoti mbele zake huyo huyo unayekataa kuwa hayupo,na kulitii kwamba yeye ndiye Mungu.
🤣🤣 Kichaa cha Mbwa ni kama cha panya buku anakwambia Mbishi 🎶Kinachofurahisha ni hawa wayahudi wa Mbagala,Mbande na Tukuyu wanavyojifanya wanaelewa Sana bibilia kuliko wayahudi wenyewe
Wewe usidanganye watu,even your avatar shows who you are:Anti God,kwa hiyo unayo ongea ni ya baba yako.But you still have time,turn back from your evil ways and accept Jesus Christ as your personal saviour so that you can be assured of eternal life."Hauwezi kuwa na upendo bila Mungu , jidanganye, Huyo Mungu mwenyewe unaemtaja kwa mujibu wa biblia ukisoma hana ata chembe ya huo upendo mimi ninao uzungumzia.
Hii ni mada nzuri na itatupa elimu na maarifa mapya. Mada ipo wazi bro, jamaa kaleta maandiko ya Biblia ili tuyajadili na wapo wanaojadii na kaweka wazi kuwa tunaweza tumia source nyingine nje ya Biblia kujengea hoja kwa lengo la kufundishana na kupeana maarifa mapya sio kukashfiana wala kulumbana. Kama una source nyingine katika jiendeleza mjadala karibu.Kimsingi mimi ukishatumia scriptures kama mtetezi wa hoja yako siwezi elewana na wewe sababu hizo sasa ni imani sawa kabisa na hisia/mapenzi binafs.
Nilikuwa nashauri, kuliko kukashfiana na kuandikiana maneno makali mkuu, kwa unyenyekevu na utaratibu tupe ujualo ili tujifunze mkuu wangu. Samahani kwa hilo kiongozi. Wengine tupo tayari kupata maarifa mapya leo katila hili.Hakuna tahadhali ya kupatwa kwa jua, ni taarifa ya uhakika itokanayo na hesabu za mizunguko ya dunia na mwezi.
Tokio hilo lipo kila mwaka na halina madhara yoyote, kinachosababisha total eclipse kuchukuliwa kama tukio adimu ni kwamba japo ipo mara kadhaa kila mwaka, huwa itatokea sehemu tofauti tofauti. Inachukua miaka mingi kwa eneo moja kurudiwa na total solar eclipse .
The rest uliyoandika is total garbage, honestly i don't know how people live with their heads filled with such crazy stuff!
Bro nilikuwa naombi kwako. Mada hii ni nzuri sana kwetu wengine, please kama wewe haikufai kuliko kuiharibu kwa kashfa na dhihaka. Tuachie wengine tujifunze mkuu wangu. Samahani kwa hilo.Hizo hadithi za malaika kwenye biblia zinawahusu waebrania sisi wamatumbi tunajipendekeza tu.
Malaika waasi kuwa na pembe sidhani kama ni kweli ila nachojua, waliondolewa utukufu(Mwanga/Nuru) ya kimungu na wapo tofauti na malaika wa Kimungu. Mara nyingi, malaika wa Kimungu huonekana wakiwa na mavazi meupe yanayong'ara na kumeta meta (Kitani safi) ila hawa wa giza huwa wana mavazi meusi.kwanza hakuna malaika waasi wenye mapembe na hawatishi kama kwenye hizo picha kinyume chake malaika waovu ni wazuri (mahandsome ambao huwez walinganisha na binadam yeyote kwa uzur) ....pili unabii wa ufunuo 9 unahusu kuinuka kwa dini ya islamic chini ya allah na mtume mohamad S.W.A
Hujaeleweka hapa bro. Kweli kuna malaika waasi wenye nguvu kuliko Lucifer aliyekuwa Kwaya Master tu. Wapo akina Azael wenye nguvu zaidi yake.Wale wanne wa mto fiati ni masensri tu, yani wajuba, wachenetaji watauwa watu karibu 2 ya dunia, huyo apoloni ni nzige lord, Pia kuna malaika waasi waalio na nguvu kuliko shetani mmoja wapo ni huyo mwamba
Abadon it doesnt Means The destroyer in Hebrew Sir! So do Apollyon?The verse in question says "they had a king". After Mohammed died near the close of the 13th century, the Mohammedans were divided into various factions under several leaders. Near the close of the thirteenth century, Othman founded a government which has since been known as the Ottoman government, or empire. The "king" is called the "angel of the bottomless pit". An angel signifies a messenger, or minister, either good or bad. The "bottomless pit" is a place of darkness and destruction.
John here gives the Hebrew and Greek name of this "king". Hebrew is "Abaddon" meaning "the destroyer"; and Greek is "Apollyon", which means "one that exterminates, or destroys:. John wanted the Hebrew and Greek readers to understand who this person was. So, the name "Apollyon" was representing the leader of the Ottoman Empire during the "five months" when they were to hurt their enemy, the Greeks. Note: the five months were prophetic, (five months with 30 days each would be 150 days; and a day for a year, that would be 150 years). So for one hundred and fifty years, the Turks ((Ottoman Empire) "destroyed" the Greeks.
So, Apollyon was a name to represent the leader of the Turks during that 150 year battle.
I hope that helps. God bless you.
Azael its not a fallen angel..Hujaeleweka hapa bro. Kweli kuna malaika waasi wenye nguvu kuliko Lucifer aliyekuwa Kwaya Master tu. Wapo akina Azael wenye nguvu zaidi yake.
Vita itainuka ila hakuna Mungu asiye na jina. Mungu wa Ekron walimuita Belzeebul. mungu wa wamoabi aliitwa Kemoshi, mungu wa mke wa sidoni aliitwa ashtorethi na mungu wa waamoni aliitwa moleki.Abadon, Appolion, Allah yote ni majina yake
Ni kweli, nilikuwa namaanisha Azazel ila napinga Samael kuwa ndio Lucifer. Lucifer ni mwingine na Samael ni mwingine.Azael its not a fallen angel..
Maana bado ni malaika..
Maybe unazungumzia kuhusu Azazel Ambaye ni fallen angel..
But na yeye yuko less ukimlinganisha na Samael (Mnayemuita Lucifer)
Hii "wanadamu wasio na nembo ya Mungu nyusoni mwao watateswa" inamaanisha ni wale wasio nyakuliwa. Maana katika Ufunuo 7:1-17 inaelezea kuhusu unyakuo so hao wanaobaki ndio watakumbana na Abadon na Appolion.Hao nzige wenye meno kama nge na mabawa, na Wana nywele kama za mwanamke wenye sura kama ya mwanadamu ni MAPEPO. Majeshi hayo ya shetani yatafunguliwa na wanadamu wasio na nembo ya Mungu nyusoni mwao watateswa na hao, na wataonekana wazi wazi Si kificho tena.
PEPO katika mwili wa kipepo huonekana hivyo, aweza kuwa na miguu ya mnyama katikati mwanadamu, KICHWA Cha Simba , au ni kenge mwenye KICHWA Cha mwanadamu, au ndege mwenye sura ya mwanadamunk nk
Ni viumbe wa kiroho hao.
Niliandika Thread isemayo : Live kutoka kuzimu-Rabbon.
Wapo wajinga walidai kuzimu hakuna moto,
Ukisoma hapo juu, Malaika anafungua mfuniko wa shimo la KUZIMU, unatoka Moshi unaofunika anga.
Ndo ujiulize Moshi utatoka bila kuwapo moto?