C-C Digital Pro
JF-Expert Member
- Mar 15, 2026
- 361
- 532
Tazama.
Siwezi kupinga Wala siwezi kukubali.Hakuna Mungu.
Hakuna Malaika.
Sidhani kama ana umbo ka binadamu.
Ana sura nyingi. Ikiwemo ya kibinadamu hata ya wanyama na wadudu.Sidhani kama ana umbo ka binadamu.
malaika wapo wapi wanaumbo gan? Ushawahi waona au ni fikra tuMalaika wapo
Mimi ni mmoja ya malaikamalaika wapo wapi wanaumbo gan? Ushawahi waona au ni fikra tu
nahisi nina IQ ndogo wew ni malaika wawap na unamabawa?Mimi ni mmoja ya malaika
nahisi nina IQ ndogo wew ni malaika wawap na unamabaw
ya kupaa nasikia malaika wote wanapaaMabawa ya kazi gani?
Tunapaa kwenda wapi wewe binadamu Matunzo?ya kupaa nasikia malaika wote wanapaa
nahisi mm ni malaikaTunapaa kwenda wapi wewe binadamu Matunzo?
Kila mtu ni malaika.nahisi mm ni malaika
unamaanisha duniani hakuna binadamu ni malaika tu au binadamu ni kisawe cha malaika?Kila mtu ni malaika.
Kila malaika ni binadamuunamaanisha duniani hakuna binadamu ni malaika tu au binadamu ni kisawe cha malaika?
kwanin si kila binadamu ni malaikaKila malaika ni binadamu
Ila si kila binadamu ni malaika.
Mimi binafsi ni malaika.
Kuna binadamu wengine wana roho za paka.kwanin si kila binadamu ni malaika
ni malaika ila ni malaika wa shetaniKuna binadamu wengine wana roho za paka.
Binadamu mwenye roho ya paka hawezi kuwa malaika.
Kwa mfano binadamu waliomuua Mzee Kibao hawawezi kuwa malaika.
Shetani hana malaika ila ana wafuasini malaika ila ni malaika wa shetani