Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Unajipa maujiko tu sio 😎Mimi binafsi ni malaika.
Unajipa maujiko tu sio 😎Mimi binafsi ni malaika.
Wapo waliotupwa naye!Shetani hana malaika ila ana wafuasi
kwahiyo shetani ni malaika na yeye?Wapo waliotupwa naye!
Alikuwa malaika mkuukwahiyo shetani ni malaika na yeye?
je kwasasa ni malaika wa kawaida kashushwa cheo?Alikuwa malaika mkuu
Kwa sasa ni lucifer, ni shetani,ibilis you name them..je kwasasa ni malaika wa kawaida kashushwa cheo?
unaweza kufika mbinguni ukamkuta shetan ni mtumishi wa mungu mwaminifu sijuw utajibuje akikuuliza kwann unanichukia?Kwa sasa ni lucifer, ni shetani,ibilis you name them..
Kwahiyo unataka kuishi kwa assumptions? mimi nafuata maandiko mengine sitaki kujua, after all huwezi kujua kila kitu..!unaweza kufika mbinguni ukamkuta shetan ni mtumishi wa mungu mwaminifu sijuw utajibuje akikuuliza kwann unanichukia?
Lucifer alikuwa malaika mwenye uwezo wa kuimbaa sauti 12, ila jamaa akataka kumpindua MUNGUkwahiyo shetani ni malaika na yeye?
upo sawa kuna historia ya ayubu MUNGU akakutana na shetan na kumuuliza umetoka wap? kwaakili ya kawaida tu maadui wanaweza kupiga story?Kwahiyo unataka kuishi kwa assumptions? mimi nafuata maandiko mengine sitaki kujua, after all huwezi kujua kila kitu..!
kwanin Mungu alimuumba lucifer agali yeye anajua yote inamaana alijua shetan atakuja kumuasi? kama alijua why akampa uwezo mkubwa kuliko malaika wote?Lucifer alikuwa malaika mwenye uwezo wa kuimbaa sauti 12, ila jamaa akataka kumpindua MUNGU
Ile tayari ilikuwa vita, walipiga story au walikuwa wanapimana imani? hukuona yaliyomtokea Ayubu?upo sawa kuna historia ya ayubu MUNGU akakutana na shetan na kumuuliza umetoka wap? kwaakili ya kawaida tu maadui wanaweza kupiga story?
Moja kati ya swali,,, zuri. nenda kasome isaya 55:8,9kwanin Mungu alimuumba lucifer agali yeye anajua yote inamaana alijua shetan atakuja kumuasi? kama alijua why akampa uwezo mkubwa kuliko malaika wote?
rejea ayubu1:7-12Ile tayari ilikuwa vita, walipiga story au walikuwa wanapimana imani? hukuona yaliyomtokea Ayubu?
Kwani malaika ni sifa au ni asili ya kiumbe?Alikuwa malaika mkuu
asiliaKwani malaika ni sifa au ni asili ya kiumbe?
Kwahiyo shetani bado anabakia kuwa ni malaika?asilia
Ukiwa mwanajeshi ukaasi bado unabaki kuwa mwanajeshi?Kwahiyo shetani bado anabakia kuwa ni malaika?