UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 18,243
- 9,657
Ndio maana niliuliza malaika ni sifa au asili ya kiumbe? Kama binaadamu akiwa mwanajeshi maana asili yake ni binaadamu, akiwa mwanajeshi au akiacha kuwa mwanajeshi bado atabakia kuwa binaadamu.Ukiwa mwanajeshi ukaasi bado unabaki kuwa mwanajeshi?
Binaadamu anaweza kuwa polisi,mwizi,kiongozi,tajiri,masikini n.k ila asili yake inabaki kuwa ni binaadamu tu.