Ndio maana niliuliza malaika ni sifa au asili ya kiumbe? Kama binaadamu akiwa mwanajeshi maana asili yake ni binaadamu, akiwa mwanajeshi au akiacha kuwa mwanajeshi bado atabakia kuwa binaadamu.Ukiwa mwanajeshi ukaasi bado unabaki kuwa mwanajeshi?
ni sifa, alliasi akageuka ibilisi, huwezi kulinganisha malaika na mambo ya kibinadamu, haviendani kabisa!Ndio maana niliuliza malaika ni sifa au asili ya kiumbe? Kama binaadamu akiwa mwanajeshi maana asili yake ni binaadamu, akiwa mwanajeshi au akiacha kuwa mwanajeshi bado atabakia kuwa binaadamu.
Binaadamu anaweza kuwa polisi,mwizi,kiongozi,tajiri,masikini n.k ila asili yake inabaki kuwa ni binaadamu tu.
Lengo ni kuelewa, sawa tusilinganishe na binaadamu. Kwahiyo ibilisi ni nini? Ni jina tu, sifa au ni aina ya kiumbe?ni sifa, alliasi akageuka ibilisi, huwezi kulinganisha malaika na mambo ya kibinadamu, haviendani kabisa!
Ungeniambia whats ur point ungenisaidia kukueleweshaLengo ni kuelewa, sawa tusilinganishe na binaadamu. Kwahiyo ibilisi ni nini? Ni jina tu, sifa au ni aina ya kiumbe?
Point yangu ni malaika baada ya kuasi amekuwa si malaika tena ilhali asili yake ndio hiyo kuwa ni malaika, sasa nashindwa kuelewa baada ya kutokuwa malaika amekuwa ni kiumbe gani?Ungeniambia whats ur point ungenisaidia kukuelewesha
Amefeuka shetani, kuna kiumbe kingine unakifahamu kimegeuka shetani?Point yangu ni malaika baada ya kuasi amekuwa si malaika tena ilhali asili yake ndio hiyo kuwa ni malaika, sasa nashindwa kuelewa baada ya kutokuwa malaika amekuwa ni kiumbe gani?
Hata binadamu tunatofautiana, wapo wengi tu wenye matendo yasiyo ya kibinadamu, wewe kama bado utawaweka kwenye ubinadmau ni maamuzi yako, ndiomaana hata shetani bado hakosi wafuasi!Kwa sababu kwa mfano wa binaadamu akiwa mwema sana au muovu sana hageuki kuwa kiumbe kingine atabaki kuwa binaadamu.
Mimi nachoelewa amegeuka shetani kisifa kutokana na matendo yake ila asili yake ya uumbwaji bado ni malaika. Hata binaadamu akifanya matendo yasiyo ya kibinaadamu bado atabaki kuwa ni binaadamu kwa sababu habadiliki kuwa kiumbe mwengine.Amefeuka shetani, kuna kiumbe kingine unakifahamu kimegeuka shetani?
Hata binadamu tunatofautiana, wapo wengi tu wenye matendo yasiyo ya kibinadamu, wewe kama bado utawaweka kwenye ubinadmau ni maamuzi yako, ndiomaana hata shetani bado hakosi wafuasi!
Kama Ushawah ona akili ipoje usingeulizamalaika wapo wapi wanaumbo gan? Ushawahi waona au ni fikra tu
Umepewa mamlaka kubwa na Mungunahisi mm ni malaika
Pole Sana maana sio kwahiyo ban 😄Unajipa maujiko tu sio 😎