Malalamiko hayatoshi tusinunue vocha

Mimi bundle nitanunua kama kawaida. Na kiukweli naomba bei zizidi kupaa maradufu, Ili wapiga kelele wapaungue mitandaoni.Wengine ni vijana waliotakiwa kufanya kazi ila mitandao Iliwachukulia muda sana.Sasa hivi yumekuwa na kizazi amacho nimekuwa addicted na simu,unakuta kijana hawezi kuweka simu yake pembeni bila kuigusa hata kwa dk 15 tu.

Leo nimefurahi sana kuona baadhi ya watu waliowahi kinitunishia misuli ya kiuchumi, na wale waliokuwa wanawaambia watu mara oooh unaishi kwa shemeji yako, mara oooh brabra nyingi eti nao wanalia na hizi bei ndogo za vifurushi[emoji23].
 
Huenda kuna faida wameiona na hii nikawaida kwa mtu mweusi kufanya vitu kuwa vigumu ila yote na yote kila jema linamaumivu
 

Umemjibu vizuri sana mkuu, wapi marekani na wapi Tanzania, mbingu na ardhi. Mama samia ashughulikie swala hili, tunaoumia ni sisi.
 
Wabunge mliowachagua huu ulikuwa ndio wakati wa kuwatetea lakini watakuwa wanakalia seat mjengoni na kusinzia tu na kujijambia hovyo.
 

Usifikiri wote wana uwezo kama wako kijana,,, tena naomba ukae kimya,, au umetumwa nini???
 
Kabisa na ndio maana HAKUNA wajinga mitandaoni
Ikifikia hatua ya wajingawajinga kuingia mitandaoni angalau kwa wiki mara moja au mbili,hii kitu itakuwa imefanikiwa sana.Nilikuwa nawaza njia nzuri ya kufukuza waropokaji mitandaoni,hii nadhani hii imekaa poa sana.
 
Sisi ni wazee wa "usijali tuko nyuma yako" kumbe hata hatupo tushakimbikia
usiweke hopes kwa wabongo. always wata kuvunja moyo.
jamii ya uoga na unafki hii.

ndio maana sometimes nawaona viongozi wa upinzani wanafanya kazi bure. wanampigia mbuzi ngoma.
 
Usifikiri wote wana uwezo kama wako kijana,,, tena naomba ukae kimya,, au umetumwa nini???
Kabla ya hili, humu jF kila mmoja alijitapa kuwa ana fedha. Nafurahi kwakua hili limekuja kuwafamisha watu madaraja yao, kimaisha. Mimi sio kijana.
 
Wabunge mliowachagua huu ulikuwa ndio wakati wa kuwatetea lakini watakuwa wanakalia seat mjengoni na kusinzia tu na kujijambia hovyo.

Kichwa kimoja kinapiga sio chini ya laki tatu kila kikao bungeni, je, atakuwa na habari na wewe ndugu Chaliifrancisco!!! Mijitu haina huruma, tunayachagua ili huko bungeni watutatulie matatizo yetu lakini wanajali masilahi yao na familia zao, hawana habari na sisi.
 
Nimemsikia mama mmoja anasema ngoja aweke vocha kwa ajiri ya sikukuu ikiisha anapiga kimyaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…