Rais Wa Malofa
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 683
- 782
Hii freebasics inafanyaje kazi mkuu?au ingia app store pakua free basic ndani ya free basic utatembelea web nyingi bila malipo ikiwemo jf,Wikipedia, BBC, BBC Swahili nk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii freebasics inafanyaje kazi mkuu?au ingia app store pakua free basic ndani ya free basic utatembelea web nyingi bila malipo ikiwemo jf,Wikipedia, BBC, BBC Swahili nk
Tatizo wabongo hatujitambuiKumobilize wabongo tufanye kitu, ni shughuli, muulize Mange hana hamu na sisi.
Sisi ni wazee wa "usijali tuko nyuma yako" kumbe hata hatupo tushakimbikiathe truth is wabongo hatuna umoja kabisa.
perepeche mingi sana mitandaoni. lakin kuja filed hamna kitu.
Hii comparison haina maana, kama mmarekani analipa USD 100 kwa mwezi (TZS 234,000) kwa ajili ya internet lakini median income ya nchi ni USD 31,000 kwa mwaka ( ~ TZS 72,000,000).
Sasa wewe unataka TZ tulipie bei hiyo wakati hiyo 234,000 ndo take home ya mtu?
Ukicompare bei compare na vipato vya nchi au sehemu husika ndo utapata uhalisia sio blind comparisons
Mimi bundle nitanunua kama kawaida. Na kiukweli naomba bei zizidi kupaa maradufu, Ili wapiga kelele wapaungue mitandaoni.Wengine ni vijana waliotakiwa kufanya kazi ila mitandao Iliwachukulia muda sana.Sasa hivi yumekuwa na kizazi amacho nimekuwa addicted na simu,unakuta kijana hawezi kuweka simu yake pembeni bila kuigusa hata kwa dk 15 tu.
Leo nimefurahi sana kuona baadhi ya watu waliowahi kinitunishia misuli ya kiuchumi, na wale waliokuwa wanawaambia watu mara oooh unaishi kwa shemeji yako, mara oooh brabra nyingi eti nao wanalia na hizi bei ndogo za vifurushi[emoji23].
Ikifikia hatua ya wajingawajinga kuingia mitandaoni angalau kwa wiki mara moja au mbili,hii kitu itakuwa imefanikiwa sana.Nilikuwa nawaza njia nzuri ya kufukuza waropokaji mitandaoni,hii nadhani hii imekaa poa sana.Kabisa na ndio maana HAKUNA wajinga mitandaoni
usiweke hopes kwa wabongo. always wata kuvunja moyo.Sisi ni wazee wa "usijali tuko nyuma yako" kumbe hata hatupo tushakimbikia
Kabla ya hili, humu jF kila mmoja alijitapa kuwa ana fedha. Nafurahi kwakua hili limekuja kuwafamisha watu madaraja yao, kimaisha. Mimi sio kijana.Usifikiri wote wana uwezo kama wako kijana,,, tena naomba ukae kimya,, au umetumwa nini???
Wabunge mliowachagua huu ulikuwa ndio wakati wa kuwatetea lakini watakuwa wanakalia seat mjengoni na kusinzia tu na kujijambia hovyo.
Kabla ya hili, humu jF kila mmoja alijitapa kuwa ana fedha. Nafurahi kwakua hili limekuja kuwafamisha watu madaraja yao, kimaisha. Mimi sio kijana.
unatumia internet bila malipo Kwa websites walizoorodhesha jf ikiwemoHii freebasics inafanyaje kazi mkuu?
Nimemsikia mama mmoja anasema ngoja aweke vocha kwa ajiri ya sikukuu ikiisha anapiga kimyaaaOngezeko jipya la bei za vifurushi bila shaka ni matokeo ya mazungumzo baina ya waziri mwenye dhamana na wamiliki wa mitandao ya simu.
Tuoneshe kupinga kwa vitendo tusinunue vocha tuziache simu zetu hewani bila vocha mpaka pale watakaposhusha gharama za vifurushi tunaumizwa kwa kweli.
Wenye mitandao watakosa fedha na hiyo itapelekea hata serikali kukosa fedha ambazo wanapata kama kodi lazima watakaa chini kuangalia upya vifurushi vya simu lakini kama tutakua tunalalamika halafu tunaendelea kununua vifurushi vyao hawatahangaika na sisi.