TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Kazi ipi ni ya la saba?Sasa kazi inayoweza fanywa na na darasa la saba unataka uajiriwe mwenye degree?? Kwanza degree hakunaga maadili
waziri S.Mbachawene kashajibuMbona Ajira za Polisi Nasikia Mama Samia ataajiri wenye degree wengi tu? Au hakuna Uhalisia? Ila kimtazamo Mama angeangalia na angekaa na Wizara ya Mambo ya Ndani na Wengineo. Hao wenye degree wasipoajiriwa Sasa hivi wanakaa mtaani na Kuanza kukata tamaa na wengine Kuanza Kukaa Mitandaoni kuisema Vibaya Serikali kisa kukosa Kazi. Mama Samia Lione hili.
Narudia hakuna Sehemu Vijana wengi wameomba wengi wenye Degree wameomba Kazi mwaka huu kama Jeshi la Polisi Tanzania na ni ishara ya kwua Ajira hakuna na tegemeo la wengi ni PT. Mama Tunakupenda naimani utaliangalia hili.Vijana wako radhi kulipwa na kufanya Kazi za Constable ndani ya Jeshi au Majeshi.
Kwenye majeshi yote Tanzania, na hata nchi jirani, wanaoajiriwa sana ni form 4, kwani ndio watendaji wakubwa wa kazi, wenye digrii, lazima wawe wachache kwani, sio watendaji bali ni wasimamizi.Mbona zamu hii kelele zimekuwa nyingi sana wakati miaka yote ndio hivyo?kwanza wenye kuanzia diploma na kuendelea wana kuwa wasumbufu, kwani wanaenda polisi huku wakisubiria michongo yao mingine ikubali, na ikikubali tu hao wanakimbia kwenye neema!!!bora umchukue huyu mwenye four ya 32, hadi aje afikie kuwa na nyota walau moja ni ndotooo!!!Habari wadau!
Kuna malalamiko yameibuka siku za karibuni kwamba serikali inawabania wahitimu wa vyuo wanagawa ajira kwa form 4 na Diploma watu wenye digrii wanatoswa, sababu kibao zimeelezwa moja wapo ni kuogopa gharama za kulipa mishahara ya wenye digrii.
Naomba rais wa JMT swala ili asilipuuze maana malalamiko yanazidi kuongezeka.
PM majaliwa ongea na mama ripoti ya hii asiipuuze,mwambie mama ikiwezekana aweke 50 kwa 50 kwa level zote.
Tusisahau swala la machinga, na vijana wengi kuunga mkono upinzani ni matokeo ya digrii kukosa ajira.
Ushauri serikali iweke usawa kwenye kuajiri .
Kumbe sababu ni watumike kisiasa,PGO inasemaje?Kwenye majeshi yote Tanzania, na hata nchi jirani, wanaoajiriwa sana ni form 4, kwani ndio watendaji wakubwa wa kazi, wenye digrii, lazima wawe wachache kwani, sio watendaji bali ni wasimamizi.Mbona zamu hii kelele zimekuwa nyingi sana wakati miaka yote ndio hivyo?kwanza wenye kuanzia diploma na kuendelea wana kuwa wasumbufu, kwani wanaenda polisi huku wakisubiria michongo yao mingine ikubali, na ikikubali tu hao wanakimbia kwenye neema!!!bora umchukue huyu mwenye four ya 32, hadi aje afikie kuwa na nyota walau moja ni ndotooo!!!
Habari wadau!