Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

.................Mzee unazungumzia mtandao wenye vifurushi nafuu huku wengine tunawaza ni mtandao gani hautazima laini zake?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Waheshimiwa Mawaziri TAMISEMI na MAJI hv yale maji mliopeleka Kisarawe mnaonaje mkiyashusha yaelekee Chanika maana hata umeme tunapata huduma kutokea Kisarawe. Naomba kuwasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dakika 100 kupiga mitandao yote hazinitoshi. Natumia wastani wa dakika 500 kwa mwezi. Mambo ya kubaniana eti upige airtel kwenda airtel tu ni ushamba na mambo ya kizamani. Kwani phonebook yangu imejaa watumiaji wa airtel tu?

Mahitaji yako na yangu tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mana ni majanga! Baada ya kuondoa kifurushi cha chuo, thamani ya jelo unaata dakika 8 tu,
Mimi hua natumia Airtel kupata dakika 100 na GB 1 kwa siku tatu' angalau, leo kulikua na kamiatano kamebaki mahali nikasema nichukue vyocha ile ya kurusha nijiunge, kulikua zamani unapata dakika 30 tigo! Nimeingia kutafuta kifurushi weee nimekosa! Maka sasa kamiatano kamehang tu hata sijui nijiunge nini mana hata kila kifurushi ni majanga
 
Dah mara ya mwisho kabla hawajafanya huu ujinga nilijiunga kifurushi cha 2000 wakanipa GB4 kwa wiki ila sasa sioni hiyo ofa.
 
kwa hizi thread ambazo zimetetwa humu juu ya kukosoa Tigo, nadhani Tigo wanatakiwa kujirekebisha ili wasipoteze wateja wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…