Denis Gregory
Member
- Jan 10, 2020
- 92
- 108
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Voda wapo juu badoKama hautumii voda wewe ni kiazi kitamu.
Ho ndugu na tigoKaribu Zantel, Hutojutia haki nakwambia
Ni ndugu kwenye Management tu, ila operations ni Tofauti kila MTU kivyakeHo ndugu na tigo
GB 3 unaziona nyingi?!
Si heri halotel kwa 10k wanatoa GB 10/15
Ukweli mtupu!Achana na makampuni ya zamani Voda,tigo,airtell,utafirisika.
Halotel,zantel,ttcl mpango mzima
Kuwakimbia tigo na voda!
Unapigwa hapo, huku airtel kwa buku 10 tunapewa dakika elfu tatu kupiga airtel-airtel na dakika 100 mitandao yote kwa siku 30. Halafu hayo mambo ya kufosiana kuongea saa nne za usiku mpaka saa kumi na moja ya alfajiri yameshapitwa na wakati. Kwa vifurushi vya maongezi airtel wako vizuri kuliko mitandao yote. Kwa vifurushi vya data halotel anaongoza.
Sent using Jamii Forums mobile app