wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana, nikuwahama tu hawa🙄Aisee,kumbe wamebadiri,nmeteseka toka jana nikajua labda ni mtandao nikajipa moyo nikiamka mambo yatakuwa sawa
We utakuwa beberu we we, wanyonge woote karibuni TTCL, TTCL Oyeeeee,mabando huwezi kumaliza huku, Magufuli oyeeeee, CCM oyeeee, wanyonge oyeeeeee
Wengine hata cheti chochote hana, au alimaliza chuo miaka kibao imepita unakuta nae analilia bundle la wanachuoAisee wewe jamaa wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Sajili Line ya royalKesho naenda kusajili laini ya Halotel tigo naiweka pembeni
@TTCL and Halotel liked your post.Tigo pumbav sana... Hawajui kwa nini watu tumehama voda.... Ngoja nijiongeze kwingine
Mpaka najiuliza hivi TTCL ni kampuni ya baba angu maana najiunga GB 1 wiki inaisha na MB zimebakiWe utakuwa beberu we we, wanyonge woote karibuni TTCL, TTCL Oyeeeee,mabando huwezi kumaliza huku, Magufuli oyeeeee, CCM oyeeee, wanyonge oyeeeeee
TTCL and Halotel liked your post.View attachment 1334307
Matackle Yao
Halotel ninayo ila Hawana 4g ndo tatizo linakuja hapo
Laini ya Royal ipoje? Vipi gharama za vifurushi?Sajili Line ya royal
Utapata dk 300 halo-halo
Dk 120 mitandao yote
Internet bila kikomo mwezi nzima
Na zikibaki wanaunga mwezi unaofuata
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora wewe.Ndio shughuli zangu nazifanya kupitia simu ambayo ina internet. Siwez kosa internet kwenye simu yangu labda fiber ikatike kwenye mnara wa tigo