Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Hii imekaaje?
Screenshot_20200125-125904_Phone.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alieyewadanganya Watamtimua Kazi ndani ya Mwezi..

Watu wa Dar wengi ndo Wanalia na Tigo huku Mikoani hiyo tigo hata wangeifunga tu limtandao lao kwenye Internet ni la Ovyo

Halotel wapo Vizuri sana..
 
Daaaa hawa wangese ilibid Jana niwapigie kuwauliza maana daa ..
Had saiz yako haina maana yaan buku upat mb hata 500 .....

Majiz makubw haya na ninahama tigo maninaaaa:::[emoji112][emoji350]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nishanunua halotel siwezi kuwavumilia awa wehu....nipeni info kuhusu io Royal bundle
 
Back
Top Bottom