Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Dakika 100 kupiga mitandao yote hazinitoshi. Natumia wastani wa dakika 500 kwa mwezi. Mambo ya kubaniana eti upige airtel kwenda airtel tu ni ushamba na mambo ya kizamani. Kwani phonebook yangu imejaa watumiaji wa airtel tu?

Mahitaji yako na yangu tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuambie basi ni mtandao upi unaotoa dakika zaidi ya 500 za kupiga mitandao yote kwa bei nafuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulikuwa nyuzi humu ikilalamikia tigo kubadili vifurushi lakini ileile,mi sikuamini nami yamenikuta,kifurushi kilichokuwa na mb10,dk20 na sms50 sasa kina dk tu,mjitathmini voda walijaribu kutoa sms kwenye kifurushi cha500 lakini wamerejesha.kazi kwenu tigo
 
Eeh bhana eeh wameanza kunifariji kiasi....Hii ni ile menyu ya saizi yako.
Wananipa dk 160+dk 90 bonus SMS 50 mb 1536 kwa wiki 1500/=... Pia kuna hiki kifurushi cha data 5000/= GB 3 + GB 3(bonus) jumla GB 6 wiki... Vya siku pia vipo sema sivipendelei... Kwa kweli mmeanza kunifurahisha... Ngoja nirudi coz nilisusa... Ila mkichenji gia nachomoka tena... Tutakuwa tunazungushana hivyo hivyo... Wenzangu vipi kwan?
 
Tigo yako ipo vizuri
IMG_20200203_190330.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeh bana!! Mkuu tigo yako imenona [emoji114]

Me kuna buku mb 100 na dk 20
GB 1.5 kwa week - 3000
Me bado hali mbaya

Wewe tigo yako haijanona?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom