hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
mmhh mpango mzima airtel tu na ttcl
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmhh mpango mzima airtel tu na ttcl
naam hata mimi nafanyaga kama wewe ...hahahahAisee na mm wameniondolea package ya chuo ,
hii ndo raha ya kuwa na laini nyingi una exchange tu Tigo itabaki ni ya kupokea simu tu [emoji23] .
Sent using Jamii Forums mobile app
jamaa wako poa sana ....kama sio network yao kuwa inasumbua baadhi ya sehemu wangekuwa wametisha sanaTurudi nyumbani kumenoga
Sema network ipo slow baadhi ya sehmu View attachment 1333203
Sent using Jamii Forums mobile app
jamaa wako poa sana ....kama sio network yao kuwa inasumbua baadhi ya sehemu wangekuwa wametisha sana
naam hata mimi nafanyaga kama wewe ...hahahah
hao ni noma tsh.1000bundle la internet unapata GB 4perdayMimi inanisumbua huku nilipo lkn naitumia nikijiunga voda inaisha mapema .
Sent using Jamii Forums mobile app
hao ni noma tsh.1000bundle la internet unapata GB 4perday
Tuambie basi ni mtandao upi unaotoa dakika zaidi ya 500 za kupiga mitandao yote kwa bei nafuuDakika 100 kupiga mitandao yote hazinitoshi. Natumia wastani wa dakika 500 kwa mwezi. Mambo ya kubaniana eti upige airtel kwenda airtel tu ni ushamba na mambo ya kizamani. Kwani phonebook yangu imejaa watumiaji wa airtel tu?
Mahitaji yako na yangu tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sasahv siweki salio nimeona ndio suluhisho nimetafuta mtandao mwingine mbadalaBinafsi juzi nimehangaika kuangalia kifurushi cha chuo kwene menu zangu lkn nimekikosa hali yakua laini yangu niyamwanachuo hadi leo sikipati
Eeh bana!! Mkuu tigo yako imenona [emoji114]
Me kuna buku mb 100 na dk 20
GB 1.5 kwa week - 3000
Me bado hali mbaya