Malalamiko: Wanawake kutokuvaa sidiria kufunika Nyonyo

Malalamiko: Wanawake kutokuvaa sidiria kufunika Nyonyo

Teynaa nimeanza vaa sidiria kwa second born tena my co worker alinambia nivae natega watuuu
Ndo maana Mimi nawapenda wanawake wasafi wa kislamu Mtu unaachaje ndala zilizopiga usingizi nje
image.jpg
 
Habari za muda huu wadau ningeomba niende moja kwa moja juu ya mada.

Jamani wadada mnapokuja asubuhi kununua vitafunwa labda maandazi, vitumbua bagia na kadhalika basi muwe mnava sidiria jamani nyonyo nazo zinachungulia deli sasa inaleta mtafaruko kidogo.

Tuko kwenye uchumi mgumu na mnazidi kuurudisha nyuma. Ningeomba Serikali labda kama inaweza ingilia kati itapendeza, asante.

Sio kila ukiona kichaka utake kuchimba dawa
Vichaka vingine vione kama nyumba ya nyoka
 
Back
Top Bottom